Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tuna PML za Gold na Ruby, tunahitaji wawekezaji tunaoweza fanya nao JV for exploration
 
Hakuna Company ya Exploration, kama alivyosema mmoja hapo juu unasajili kwanza Kampuni BRELA kama kampuni zingine, halafu unachukua leseni inayoendana na unachotaka kukifanya,
Aina za leseni
a) Chini ya daraja A ya sehemu ya IV
i) Leseni ya utafutaji madini - Mineral Exploration
ii) Leseni ya utafutaji madini ya vito - Gemstone Exploration
iii) Leseni ya umiliki - Ownership License
b) Chini ya daraja B sehemu ya IV - Leseni za uchimbaji madini - Mining
i) Leseni maalum ya uchimbaji madini
ii) Leseni ya uchimbaji madini
c) Chini ya daraja C sehemu ya IV
i) Leseni ya awali ya uchimbaji madini
d) Chini ya daraja D sehemu ya IV
i) Leseni ya Kuchenjua
ii) Leseni ya kuyeyusha
iii) Leseni ya kusafisha
 
Huu uzi uwe updated kwa kuweka njia mpya za kusajili kwa online system ya Brela (ORS)
Nadhani mode
Huu uzi uwe updated kwa kuweka njia mpya za kusajili kwa online system ya Brela (ORS)
Tunaomba Moderator mtusaidie ku-update kusajili kwa ors maana bila hivyo uzi hauna msaada tena.. Mi nimekuja mbio huku kujua usajili wa kampuni kwa njia mpya nimeshia kuwa dissapointed
 
Jambo ipo?

Kama hukupata majibu nipigie, kwa msaada
Nafanya shughuri hizi za usajili. Kwa haraka unapaswa uwe na kitambulisho cha taifa. Kama mpo wengi yaani wakurugenzi ama partners pia wanapaswa wawe nayo.

Nipigie 0778437201
Kama nipo ubia na foreigner inakuaje kwenye limited company?
 
Wakuu naona threads nyingi zinazungumzia usajili wa enzi zile za zamani.

Naomba anaejua namna ya kusajili kampuni kwa ORS anipe muongozo maana kuna mwanasheria nimempigia simu kuhusu memart anasema siku hizi sio kama zamani saizi memart naweza andaa mwenyewe tu akanigongea muhuri.

Na kama kwenye kampuni niko na foreigner anaeishi nje ila tunataka kufungua limited company sio partnership hapo utaratibu ukoje?
 
Hapa umetisha bro
 
Mkuu samahani, hivi hizi memorandum na article of association ni lazima aandae mwanasheria? Je kama una uelewa wa haya mambo na sio mwanasheria inakuaje hauruhusiwi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani, hivi hizi memorandum na article of association ni lazima aandae mwanasheria? Je kama una uelewa wa haya mambo na sio mwanasheria inakuaje hauruhusiwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza tuu kuandaa, hata hao wanasheria wana cut and paste tuu.
Bandiko ni la 10 years ago, sasa everything is done online.
P
 
JE PRIVATE COMPANY inasajiliwa namna gani?

Pia Tour Company inasajiliwa vipi?

Leseni ya Tour Operator ni 2000 US $ per year, je utawezaje kulipa bila hujaanza biashara? Kama bado sina wateja nitalipaje kodi?
Great
 
Naomba kujua gharama za kunisaidia kufungua kampuni ukijibu hapa itapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…