Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Bado umeniacha njia panda... Nisaidie kujua njia za kusajili kampuni, na gharama hizo za brela zipoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado umeniacha njia panda... Nisaidie kujua njia za kusajili kampuni, na gharama hizo za brela zipoje
Zile elfu 15 ni za nini hizo nimeziona ni fee kubwa, so brela wanakuchaji kutokana na mtaji wako?Ndiyo ni gharama rasmi za BRELA . Hizo zilizoandikwa BRELA FEES
NichekiBado umeniacha njia panda... Nisaidie kujua njia za kusajili kampuni, na gharama hizo za brela zipoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo gharama bado zipo hivi hivi au zimebadilika 2020 hiiMtaji wa mil 1 ni 177,200
Mtaji zaidi ya mil 1- 5 ni 267,200
Mtaji zaidi ya mil 5 - 20 ni 357,200
Mtaji zaidi ya mil 20- 50 ni 387,200
Mtaji zaidi ya mil 50 ni 532,200
NB hizo ni gharama za usajili wa limited company ynye mtaji na shares na zinajumuisha registration fee,filling fee na stampduty
NdiyoZile elfu 15 ni za nini hizo nimeziona ni fee kubwa, so brela wanakuchaji kutokana na mtaji wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama za kusajili kampuni zinatofautiana kutokana na mtaji, Gharama unayolipia BRELA:
Ubarikiwe we jamaa, nina swali liningine mimi nafungua kiwanda kidogo cha mambo ya nafaka nk na nimepata partner yupo nje ya nchi, nisaidie mambo machache, je na yeye ni lazima awe na TIN,Gharama za kusajili kampuni zinatofautiana kutokana na mtaji, Gharama unayolipia BRELA:
1. Mtaji kati ya TZS. 20,000.00 hadi TZS. 1,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 167,200.00
2. Mtaji kati ya TZS. 1,000,001.00 hadi TZS. 10,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 247,200
3. Mtaji kati ya TZS. 10,000,001.00 hadi TZS. 50,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 366,200.00
4. Mtaji kati ya TZS. 50,000,001+
Ada BRELA ni TZS. 512,200.00
NOTE: Gharama hizi hadi leo Alhamisi, Tarehe 01.10.2020
Pia nilishafunguaga biashara ya spare nikafunga ile biashara je naweza tumia ile ile TIN, na nilifunga na kulikua na deni la laki tano je nifaweza tumia TIN hiyo hiyo kusajili brela kiwanda changu kidogo, msaada wa kina boss ili nijue nini cha kufanya nakushukuru.Gharama za kusajili kampuni zinatofautiana kutokana na mtaji, Gharama unayolipia BRELA:
1. Mtaji kati ya TZS. 20,000.00 hadi TZS. 1,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 167,200.00
2. Mtaji kati ya TZS. 1,000,001.00 hadi TZS. 10,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 247,200
3. Mtaji kati ya TZS. 10,000,001.00 hadi TZS. 50,000,000.00
Ada BRELA ni TZS. 366,200.00
4. Mtaji kati ya TZS. 50,000,001+
Ada BRELA ni TZS. 512,200.00
NOTE: Gharama hizi hadi leo Alhamisi, Tarehe 01.10.2020
Nipe mwangaza juu ya hayo maswali nione wapi pakuanzia, nitie moyo bossNicheki
Offcial mobile no: 0659211222 | 0777777766
Kama hautajali, laah uwe na subira nitaandika maelezo baadae kdg
AmiinUbarikiwe we jamaa, nina swali liningine mimi nafungua kiwanda kidogo cha mambo ya nafaka nk na nimepata partner yupo nje ya nchi, nisaidie mambo machache, je na yeye ni lazima awe na TIN,
Na je SIDO inaumuhimu gani kuandikia barua kwa shughuli zangu nazotaka kuzifanya je ni muhimu? Ni hatua gani natakiwa nisiruke pia naomba unisaidie hayo maswali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sanaaaa umenifungua sana macho mkuu, so SIDO ni hiari au ni lazima kujiunga nayoAmiin
1. Usajili wa kampuni na 'Foreigner'
Vielelezo vinavyotakiwa ni:
Kwa Mtanzania
1. TIN
2. Kitambulisho /no za Kitambulisho cha Taifa
Kwa Foreigner
1. Passport
2. Kitambulisho cha Ukaazi hk kwao (ziada)
Akutumie vlvl soft copy uambatanishe
Baada ya mchakato wa usajili wa kampuni kukamilika ndiyo mkurugenzi mmojawapo ataenda TRA na vielelezo vyote kupata TIN ya kampuni
2. SIDO
Hii ni taasisi inayosimamia wajasiriamali na viwanda vdg vdg hapa Tanzania.
Faida zake kwako wewe mzalishaji:
1. Kukutambulisha ktk Taasisi mbalimbali kama vile Manispaa yk, TMDA, TBS, Taasisi za fedha nk
2. Kukuwezesha kupata vibali kirahisi baada ya utambulisho mf: TBS - Viwango na ubora, Manispaa- Leseni et al
3. Kukupa ushauri juu ya muundo na mipangilio ya kiwanda chako unachotaka kuanza kitaalam
4. Kupata wataalam ambao watakushauri namna bora ya kuendesha mradi wako
5. Kukutanishwa na wajasiriamali na wana viwanda wenzako ambao mtashauriana ktk mambo ya uzoefu, masoko, changamoto nk
6. Kupata sapoti za ushawishi ktk kupata/kuwezeshwa mikopo kutoka SIDO yenyewe na taasisi za fedha
Hizi ni baadhi tu, kwa hy ni muhimu sana kufanya hivi
Amiin

1. Matumizi ya TINPia nilishafunguaga biashara ya spare nikafunga ile biashara je naweza tumia ile ile TIN, na nilifunga na kulikua na deni la laki tano je nifaweza tumia TIN hiyo hiyo kusajili brela kiwanda changu kidogo, msaada wa kina boss ili nijue nini cha kufanya nakushukuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wenu huwa mnafanya hiari, lkn kama Consultant nakushauri na naitazama kama ni lazima kujisajiri huko kwanza ipo kwa mujibu wa sheria sasa kwa nn uikwepe!Ahsante sanaaaa umenifungua sana macho mkuu, so SIDO ni hiari au ni lazima kujiunga nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nimekuelewa mkuu, ngoja nitakutafutaWengi wenu huwa mnafanya hiari, lkn kama Consultant nakushauri na naitazama kama ni lazima kujisajiri huko kwanza ipo kwa mujibu wa sheria sasa kwa nn uikwepe!
Mabadiliko ni kidogo sababu Sasa unawasilisha memorandum kitabu kimoja badala ya vitatu au zaidi ambayo by then ilikuwa inaongezeka gharama ya filling fee kwa kila kitabu utachotaka kiwe kimegongwa muhuri wa stamp duty
Karibu
Naomba msaada kwenye tuta.Karibu
Usijali MkuuNaomba msaada kwenye tuta.
Nataka kufungua kampuni itakayo kuwa inatoa huduma kitataifa na kimataifa.
Assume mapato/faida yangu kwa kota ni 6,000,000/=. Je makato yake ya kodi kwa mwaka/kota yanaweza kuwa yapi na kwa asilimia ngapi!