Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

tunatoa huduma zenye ubora na tija,haraka na nafuu utalipia malipo ya serikali kwa control number ya kazi unalipa baada ya kazi kukamilika pia huduma zetu ni kama zinavyoonekana kwenye poster hapo waweza kuwasiliana nasi 24hrs
 
Nami umenipa mwanga kaka, Kuna kitu nahitaji kukifanya. Japo bado sina idea katika usimamizi wa mambo ya kifedha( mapato na matumizi)na Kodi. Je, ni lazima uajiri permanent accountant au huwa wapo ambao mnaelewana tu kila anapofunga hesabu?
Naomba msaada kaka. Pascal Mayalla
 
Habari mkuu, Napenda kukujulisha anachongelea pascal ni procedure za zamani zilizobadilika tangu 2018 , Kwa Sasa unaweza PATA hivi vyote ukiwa home kwako, mkoani kwako, kijijini kwako nk. Karibu kwa msaada siku ukianza hatua za usajili.

pili ndio unaweza pats accountant Kwa part-time job Yan pale unapohitaji huduma .
 
Asante sana mkuu.
 
Swali zuri. Ngoja wataalam waje
 
JE PRIVATE COMPANY inasajiliwa namna gani?

Pia Tour Company inasajiliwa vipi?

Leseni ya Tour Operator ni 2000 US $ per year, je utawezaje kulipa bila hujaanza biashara? Kama bado sina wateja nitalipaje kodi?
Tafta muhasibu wakujitegemea waondiowanamaliza kilakituu wanafanya Hadi makadirio wanakufanyia oditing kama hujafanya biashara hulipiii chochote tatizo lenu mnajikimbilisha TRA direct mnapigwa hela ishini na watu vizuri
 
Tunaweza kukusaidia hatua zote toka hatua ya kwanza name clearance hadi mwisho tunapatikana kwa whtsp/call/sms +255626 402 722 au etj.prof@gmail.com
ofisi zetu zipo songea mjini mkabala na TRA RUVUMA BRANCH NEAR BY TO TCB SONGEA BRANCH
 
HUDUMA ZETU NI RAFIKI KWA WOTE NA TUNAKIDHI MATAKWA YA MTEJA KARIBU ADA YA KAZI UNALIPA BAADA YA KAZI YAKO MALIPO YA SERIKALI LIPIA KWA CONTROL NUMBER WEWE MWENYEWE
 
ingia brela kila kitu kipo straight forward.

ukihitaji memarts and other legal facilities njoo inbox chap
 
HUDUMA ZETU NI RAFIKI KWA WOTE NA TUNAKIDHI MATAKWA YA MTEJA KARIBU ADA YA KAZI UNALIPA BAADA YA KAZI YAKO MALIPO YA SERIKALI LIPIA KWA CONTROL NUMBER WEWE MWENYEWE
bado watu mnapata shida kusajiri makampuni?
 
Habari za muda wakuu!
Hivi ukiwa umesajili kampuni... mfano ya Mambo ya Mambo ya nafaka, ukawa umeweka DSM kama makao makuu. Sasa baadae katika kuanza kazi... Ukatamani uifanyie sehemu nyingine tuseme Mbeya.

Je, natakiwa kufanyaje ili nisivunje sheria za nchi? Leseni nachukua ya BRELA au halmashauri/manispaa?
 
Brela..
 
Hivi kampuni ni lazima awe mtu zaidi ya mmoja nahitaji kufungua general trader company, unaweza kunipa mchanganuo
 
Kwenye location unabadili address na kumjulisha msajili wa makampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…