Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

HABARINI WANA JAMII,, NAOMBA KUCHANGIWA MAWAZO, USHAURI, UFAHAMU NK, KTK YAFUATAYO ILI KUWEKA REKODI SAWASAWA..
KWANZA KABISA, NILIMSIKIA MTU MMOJA, SIMKUMBUKI JINA, NA SIKUMBUKI WAPI ILA NI MFANYAKAZI WA TRA... KWENYE MAKODI YA KUKADIRIA BIASHARA MBALIMBALI YA WATEJA.

JAMAA: bro nakushauri kama unampango
Wa kufanya biashara, nakushauri
Usifungue kampuni, its a tidius
Work. Kuna lot of ishu ambazo
Zitakusumbua ikiwa ni pamoja
TRA, plus hayo ya ku files return
Kama sio mhasibu utaingia chaji
za kuwalipa consult wakufanyie
N.K. aliniambia mambo mengi.

Akanishauri, ni VYEMA UKAFUNGUA BUSINESS NAME TUU, ukaendesha biashara zako ukiwa na iyo business name.

NIMEONA NILETE HII KITU APA KUPATA MAWAZO MBALIMBALI, Naamini kuna waliobobea kwenye fani hii..

PILI:
Let say, nimefanya procedures za kufungua kampuni BRELLA online, na hatimae nimefanikiwa, nina iyo memort and certificate mkononi, ILA BADO SIJAENDA TRA ili wanifungulie file ili oficial nianze biashara.. SASA KUTOKANA NA CHANGAMOTO ZA DHARURA, nahisi nashindwa kuanza hii company business, na fkilia ku CANCEL kila kitu.. Je, kwa mfano, nikiacha tuu, bila kufanya lolote,, kuna chaji na penalts nitadaiwa na TRA au pengine na Brella? Kumbuka, tra sijawai enda, so sina faili kule......

Msaada kwa hayo machache....
Asanteni..
 
Sasa hao BRELA wapo upande gani na jengo lipi hapa Dar es Salaam na Mikoani wana matawi? kuna Kigezo gani ukitaka Kampuni yako iwe LTD au Holdings,Enterprises etc. Samahani kwa swali la nyongeza mtatusidia wengi tu jamani lol!!!
Wapo jiran iliokuwa magereza makao mkuu Kama unaenda ifm
 
Kwamba anaekuandalia MEMART ya kampuni yako asije kuweka shares nyingi zenye thamani kubwa pasipo kuwa na sababu yoyote ya msingi hivyo kupaswa kulipia pesa nyingi tofauti na kuweka thamani ya shares kiwango kidogo na idadi yake ikiwa kiasi tu.
Mkuu hebu tupe shule kidogo kuhusu company shares?...mtu anaposema kampuni ina shares 2,000%? ana maanisha nini wakati mimi najua asilimia za share hazitakiwi kuzidi 100%? Na mwenye share kuanzia 51% ndiyo mmiliki mkubwa mwenye mamlaka?

Tafadhani usichoke kutuelewesha!!
Natanguliza shukrani.
 
Capital clause : mtaji ikiwa 1,000,000 na ukaamua jumla ya shares ziwe 100 basi thamani ya kila share inakuwa sawa na mtaji gawanya Kwa total number of shares ambapo unapta thamani ya kila share moja ni 10,000.

Kuamua total number of shares iwe ngapi inatemeana na wewe unapenda value Kwa kila share iwe na thamani ya sh ngapi ukihusianisha na mtaji.

Total number of shares zinazoandikwa ktk capital clause sio kuwa ziko ktk asilimia ,Ila ni ktk namba halisi kulingana na mtaji na thamani ya kila share.

So ikiwa total number of shares labda ni 1000 halafu ktk sehemu ya number of shares taken ukawa umewapa wahusika share 100, basi tafsiri yake ni kuwa share 900 bado ziko pending,hazijachukuliwa na yoyote,hivyo wakija kujiunga wanahisa wapya wanafanyiwa allotment na si transfer (transfer of share inafanyika ikiwa share zote ziliisha ktk mgawanyo wa awali)

Kutoka ktk total number of shares ndio subscribers wanakubaliana wagawane Kwa asilimia ngapi kila mmoja.

Uliyemuuliza ataongezea
 
Hiyo ya 2,000% umeitoa wapi, share hazihesabiwi kwa asilimia bali kwa namba ya share na dhamani yake wakati wa kuuza.
 
Capital clause : mtaji ikiwa 1,000,000 na ukaamua jumla ya shares ziwe 100 basi thamani ya kila share inakuwa sawa na mtaji gawanya Kwa total number of shares ambapo unapta thamani ya kila share moja ni 10,000.

Kuamua total number of shares iwe ngapi inatemeana na wewe unapenda value Kwa kila share iwe na thamani ya sh ngapi ukihusianisha na mtaji.

Total number of shares zinazoandikwa ktk capital clause sio kuwa ziko ktk asilimia ,Ila ni ktk namba halisi kulingana na mtaji na thamani ya kila share.

So ikiwa total number of shares labda ni 1000 halafu ktk sehemu ya number of shares taken ukawa umewapa wahusika share 100, basi tafsiri yake ni kuwa share 900 bado ziko pending,hazijachukuliwa na yoyote,hivyo wakija kujiunga wanahisa wapya wanafanyiwa allotment na si transfer (transfer of share inafanyika ikiwa share zote ziliisha ktk mgawanyo wa awali)

Kutoka ktk total number of shares ndio subscribers wanakubaliana wagawane Kwa asilimia ngapi kila mmoja.

Uliyemuuliza ataongezea
🙏
 
Mkuu hebu tupe shule kidogo kuhusu company shares?...mtu anaposema kampuni ina shares 2,000%? ana maanisha nini wakati mimi najua asilimia za share hazitakiwi kuzidi 100%? Na mwenye share kuanzia 51% ndiyo mmiliki mkubwa mwenye mamlaka?

Tafadhani usichoke kutuelewesha!!
Natanguliza shukrani.
Kwema kiongozi idadi ya shares na % ni vitu viwili tofauti ingawa vina uhusiano kwa namna moja au nyingine maana idadi yake ukiziweka katika % haitakiwi ikazidi 100%. Mfano shares ziko 2000 na wale subscribers wako wawili pia kila mmoja ana shares 500 ukiziweka kwenye % inakuwa (500/2000)*100% =25% kwahyo ukijumlisha hizo asilimia unapata 50% ambazo ziko kwa hao subscribers wawili 50% inayobaki iko kwenye kampuni
 
bravo
 
HABARINI WANA JAMII,, NAOMBA KUCHANGIWA MAWAZO, USHAURI, UFAHAMU NK, KTK YAFUATAYO ILI KUWEKA REKODI SAWASAWA..
KWANZA KABISA, NILIMSIKIA MTU MMOJA, SIMKUMBUKI JINA, NA SIKUMBUKI WAPI ILA NI MFANYAKAZI WA TRA... KWENYE MAKODI YA KUKADIRIA BIASHARA MBALIMBALI YA WATEJA.

JAMAA: bro nakushauri kama unampango
Wa kufanya biashara, nakushauri
Usifungue kampuni, its a tidius
Work. Kuna lot of ishu ambazo
Zitakusumbua ikiwa ni pamoja
TRA, plus hayo ya ku files return
Kama sio mhasibu utaingia chaji
za kuwalipa consult wakufanyie
N.K. aliniambia mambo mengi.

Akanishauri, ni VYEMA UKAFUNGUA BUSINESS NAME TUU, ukaendesha biashara zako ukiwa na iyo business name.

NIMEONA NILETE HII KITU APA KUPATA MAWAZO MBALIMBALI, Naamini kuna waliobobea kwenye fani hii..

PILI:
Let say, nimefanya procedures za kufungua kampuni BRELLA online, na hatimae nimefanikiwa, nina iyo memort and certificate mkononi, ILA BADO SIJAENDA TRA ili wanifungulie file ili oficial nianze biashara.. SASA KUTOKANA NA CHANGAMOTO ZA DHARURA, nahisi nashindwa kuanza hii company business, na fkilia ku CANCEL kila kitu.. Je, kwa mfano, nikiacha tuu, bila kufanya lolote,, kuna chaji na penalts nitadaiwa na TRA au pengine na Brella? Kumbuka, tra sijawai enda, so sina faili kule......

Msaada kwa hayo machache....
Asanteni..
Nafikiri utajaza form Namba 338 voluntary winding-up
 
Ukisajili kampuni ndani ya Miezi mitatu bila kufanyiwa makadirio tayar inapigwa penalty ya 250k Kila mwezi. Na Kwa ushauri hebu nenda TRA halafu uchukue hatua ya kuwaambia kuwa nafunga biashara.. ukishawaambia watakwambia tafta auditor akuandalie hesabu. Auditorium kwenye hesabu lazima akuandikie kuwa haujawah fanya biashara kwahyo hamna faida .. ukimaliza hapo unaingia mfumo wa BRELA na kutangaza Kufunga kampuni. Kama unataka kufanya biashara baadae nenda TRA uweke barua ya Kufunga biashara watakufungia na kuondoa hizo penalty
 
Kuwajulisha mamlaka husika ni jambo la muhimu maana hakuna namna wanaweza pata taarifa bila muhusika kuwapa taarifa za kutofanya biashara kwa kipindi husika. Uko sahihi hana budi kwenda tra watampatia muongozo
 
Aende TRA Wampe taratb za Kufunga biashara
 
HABARINI WANA JAMII,, NAOMBA KUCHANGIWA MAWAZO, USHAURI, UFAHAMU NK, KTK YAFUATAYO ILI KUWEKA REKODI SAWASAWA..
KWANZA KABISA, NILIMSIKIA MTU MMOJA, SIMKUMBUKI JINA, NA SIKUMBUKI WAPI ILA NI MFANYAKAZI WA TRA... KWENYE MAKODI YA KUKADIRIA BIASHARA MBALIMBALI YA WATEJA.

JAMAA: bro nakushauri kama unampango
Wa kufanya biashara, nakushauri
Usifungue kampuni, its a tidius
Work. Kuna lot of ishu ambazo
Zitakusumbua ikiwa ni pamoja
TRA, plus hayo ya ku files return
Kama sio mhasibu utaingia chaji
za kuwalipa consult wakufanyie
N.K. aliniambia mambo mengi.

Akanishauri, ni VYEMA UKAFUNGUA BUSINESS NAME TUU, ukaendesha biashara zako ukiwa na iyo business name.

NIMEONA NILETE HII KITU APA KUPATA MAWAZO MBALIMBALI, Naamini kuna waliobobea kwenye fani hii..

PILI:
Let say, nimefanya procedures za kufungua kampuni BRELLA online, na hatimae nimefanikiwa, nina iyo memort and certificate mkononi, ILA BADO SIJAENDA TRA ili wanifungulie file ili oficial nianze biashara.. SASA KUTOKANA NA CHANGAMOTO ZA DHARURA, nahisi nashindwa kuanza hii company business, na fkilia ku CANCEL kila kitu.. Je, kwa mfano, nikiacha tuu, bila kufanya lolote,, kuna chaji na penalts nitadaiwa na TRA au pengine na Brella? Kumbuka, tra sijawai enda, so sina faili kule......

Msaada kwa hayo machache....
Asanteni..
Kwema asee???
kwa Msaada wa haraka na kwa bei nafuu,
tutafute;
Sisi tunatoa huduma kama Auditor, na pia kwa ishu za Brela Zote tunapambana nazo
 
Attachments

  • 20230206_054638_0000.png
    20230206_054638_0000.png
    35.1 KB · Views: 65
  • 20230206_060115_0001.png
    20230206_060115_0001.png
    29.4 KB · Views: 93
  • 20230206_060742_0000.png
    20230206_060742_0000.png
    27.7 KB · Views: 67
  • 20230206_061440_0000.png
    20230206_061440_0000.png
    17.1 KB · Views: 107
Naomb msaada anayejua jinsi ya kusajili kampuni yaan process zote mpak kampuni ikamilike kama licence na TRA na mambo mengine
 
karibu ndugu sisi ni wataalam wa kusaidia katika sajiri mbalimbali TIC,BRELA,TRA,OSHA,KUPATA LESENI ONLINE MAWASILIANO YETU +255764530882 au +255626402722 email yetu ni etj.prof@gmail.com tunaweza kuja kukufanyia kazi ofisini kwako kwa weredi na ada zetu ni nafuu sana
 
Kwanza lazima tujue kampuni ipi unataka kuisajili. Limited au business name? Hata hivyo ukiingia Google kwenye Website ya BRELA utapata habari zote. Pia kama kwa mfano una nia ya kuwekeza kwanzia US$ 100,000 unaweza kutembea TIC(angalia website yao), hawa watakufanya kazi zote kwanzia usajili mpaka leseni na pia unaweza ukaapply kwa TIC certificate na utaweza kumport kinachohitajika kwa biashara yako na utasamewa VAT na Duty
 
Naomba kuuliza
Nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute muhasibu aniandalie provisonal return statement ndo nitapata tin number pamoja na tax clearance.
Au nimpe yeye 50k aniandalie.
Naomba kujua utaratibu ulivyo maana naona kama nataka kupigwa hela.
 
Back
Top Bottom