asante mkuu. kwa mawazo yangu binafsi , cha kwanza ningejiuliza maswali haya . moja, je nina fanya biashara ya nafaka nje ya nchi au la. kama ni ndani ya nchi , binafsi ningependelea biashara binafsi au ya ubia( Hapa inategemrana na arrangement zako kama ww ni mmiliki pekee au utakuwa na mtu zaid ya mmoja). lakini kama ninaenda kufanya biashara ya nafaka nje ya nchi kampuni ni bora zaidi, sababu itaongeza uaminifu kwa wateja wako, wigo wa kuexpand nimkubwa sana kupitia kampuni sababu activities za kampuni ni limitless as long as uliziandika kwenye MEMART.