Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF wanaohitaji msaada wa huduma hiyo wamtafute Singo ambaye amenisaidia sana bila usumbufu wowote kama nilivyoeleza kwenye topic nyingine nami nimempata kupitia hapa.
Ninayo furaha kuwafahamisha kwamba nimeweza fanya kazi na member kadhaa wa Jamiiforums,waishio mikoa tofauti tofauti zinazohusu usajili wa Business Name na Company Limited .
Walifahamu kuhusu mimi na ujuzi wa maswala ya usajili baada ya kujibu thread za member kadhaa humu waliouliza maswala ya usajili , rejea thread : Msaada juu ya kusajili jina la biashara(rejea post na 6 na kuendelea) na Jinsi ya Kusajili Kampuni Tanzania (rejea post no 128 page ya 7)
Wafuatao niliwasajilia Business names
Ally Msangi (Mwanza)
CHASHA POULTRY FARM(ARUSHA)
Mc Hestone Jr (Arusha)
Qsm ( Arusha)
PACMA ADVENTURE AND SAFARI(Arusha )
ALF(DAR ES SALAAM) kazi FALON ENTERPRISES
Elie Chansa (Arusha) kazi ni INHOUSE INFO
Kln Investment Group(Dar es salaam)
Velx school and Office Supplies(Dar es Salaam)
Wizmark Solution (DA ES SALAAM)
Open Academy-KLM(DAR ES SALAAM)
Bilesi General Supplies(Dar)
Kwa Upande wa Limited Company
- Elie Chansa (Arusha)Nimeshamsajilia Company(ilichukua takribani wiki mbili mpaka kukamilika......(Certificate of Incorporation ya TUCK AND ROLL COMPANY LIMITED nimemkabidhi 3rd Appril alipokuja Dar
- nimemkabidhi muhusika ambaye sikufahamu jf id yake Certificate of Incorporation-ya KAE CREDIT AND FINANCE LIMITED (DAR)
- J&K QUALITY SERVICE LIMITED(DAR ES SALAAM)hii ni company nyingine mpya niliyomsajilia JF member, uzuri wa kazi hii certificate imetoka muda mfupi zaidi ndani ya week hiyo tuliyolipia, ila kuna gharama tulikubaliana kufanikisha hilo ( April 2014 )
- KIWALANI MICROCREDIT AND INVESTMENT COMPANY LIMITED(DAR) May, 2014 .Awali niliwasajilia kama business name na ilikuwa ni KLN INVESTMENT GROUP miezi minne iliyopita
- Pia nimefanya kazi na jf member wa id ya GreenHouse(Dar ) limited company yake inafanya kazi rejea thread yake jukwaa hili la ujasiliamali
- JAE & BOMA LIMITED (Hai ) JUNE 2014, nimeanya kazi na jf member wa hii Id Simburya.
- COMMUNITY SUPERMARKET & COMPANY LIMITED(DAR ES SALAAM ) Nimemkabidhi kazi hii 30 June 2014
Nawashukuru wote wanaondelea kuniamini kufanya kazi na mimi kazi huku hawanijui zaidi ya hii JF ID,mnanijengea CV nzuri kwa kazi za mtandaoni hasa kuhusu usajili.
Nawakaribisha wengine niwasaidie aidha kwa ushauri ama kwa vitendo kuhusu usajili wa Business Names na Company Limited.
Niliowataja IDS zenu samahani kama itawaletea usumbufu,ila nimefanya hivi ili wengine ambao hawajafahamu kuhusu kazi ninazofanya ,basi wafahamu na wawe na imani kupitia ninyi
---------- Updates
kuhsiana na gharama za usajili kwa mujibu wa Brela kuanzia company ya mtaji mdogo kabisa hadi mkubwa zaidi soma post na 28 kwenye hii thread .
Pia naweza speed process za usajili , ila ni "kwa nguvu za ziada" ikiwa wewe muhusika utataka hivyo japo gharama zitaongezeka.
nipigie 0712 74 22 33 Kwa swala linalohusu usajili Brela .
Mkuu Dominic, gharama za brela kwa huo mtaji itakuwa ni 345,000 for registration and filling fee + 16,200 for stamp duty ,jumla= 361,200, gharama zangu nakufanyia 180,000 ikijumuisha Kuandaa Memorandum, Mihuri ya wanasheria na ufuatiliaji ambayo ndani ya siku 5-7 za kazi naweza fanikiwa kupata cert of incorporationNahitaji kusajili kampuni yangu mara moja, mtaji wangu mill.45.
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu.
-------------------------------------
Mkuu Dominic, gharama za
brela kwa huo mtaji itakuwa ni 345,000 for registration and filling fee +
16,200 for stamp duty ,jumla= 361,200, gharama zangu nakufanyia
150,000(offer ya mwezi 1) ikijumuisha Kuandaa Memorandum, Mihuri ya
wanasheria na ufuatiliaji ambayo bila presha ndani ya week mbili
Certificate of Incorporation inakuwa tayari, pia ukitaka ndani ya week
naweza,ila kuna gharama zitaongezeka sababu nitakiuka taratibu ku speed
kazi.
Muhimu kwa sasa kwako ni kunipa majina unayopendekeza kutumia kama jina
la kampuni,kisha niyaandikie barua ya search name ,na jina
litalopitishwa ndio litatumika kwenye memorandum.
kikundi kinakubalika kusajiliwa,ila kiwe kinafanya biashara na wanachama hawazidi ishirini,bei yake ni sh 6000, hela ya brela , (nikikusaidia kusajili kikundi chenu itabidi uwe na 40,000/=tu ) siku hizi mbili simu yangu haipo hewani, waweza tumia PM kwa ufafanuzi zaidiNaomba kuuliza usajili wa Club (Kikundi) pia Brela wanahusika na kama wanahusika ni kiasi gani cha pesa?
naombeni mnisaidie kwaanaefahamu utaratibu wa kufungua kampuni ni hatua gani za kufuata na gharama zake?na je wale tuliopo mikoani tunafanyaje ili tusajili kampuni,NB hiyo kampuni isiyokuwa limited.nawasirisha
Company isiyokuwa limited ,hiyo itakuwa katika kundi la business name, gharama za businessname ni 6000 tu, na kwa nyie mlioko mkoani ,aidha unitumie mimi nikusjilie ambapo itabidi unipatie 40,000 tu kukusaidia kukusajilia na ufuatiliaji ama uje wewe Dar na ufanye mwenyewe usajili(hii itagharimu zaidi na nisingekushauri).kuna form maalum ya usajili, na kuna taarifa muhimu nitahitaji kupata kutoka kwako.
Kwa kunifahamu zaidi kwa maswala ya usajili pitiaprofile yangu,kisha utakutana feedback ya jf members kadhaa wa sehemu tofauti tofauti niliowasijilia.Pia waweza nipigia kwa na yangu 0712 74 22 33