Ninayo furaha kuwafahamisha kwamba nimeweza fanya kazi na member kadhaa wa Jamiiforums,waishio mikoa tofauti tofauti zinazohusu usajili wa Business Name na Company Limited .
Walifahamu kuhusu mimi na ujuzi wa maswala ya usajili baada ya kujibu thread za member kadhaa humu waliouliza maswala ya usajili , rejea thread :
Msaada juu ya kusajili jina la biashara(rejea post na 6 na kuendelea) na Jinsi ya Kusajili Kampuni Tanzania (rejea post no 128 page ya 7)
Wafuatao niliwasajilia Business names
Ally Msangi (Mwanza)
CHASHA POULTRY FARM(ARUSHA)
Mc Hestone Jr (Arusha)
Qsm ( Arusha)
PACMA ADVENTURE AND SAFARI(Arusha )
ALF(DAR ES SALAAM) kazi FALON ENTERPRISES
Elie Chansa (Arusha) kazi ni
INHOUSE INFO
Kln Investment Group(Dar es salaam)
Velx school and Office Supplies(Dar es Salaam)
Wizmark Solution (DA ES SALAAM)
Open Academy-KLM(DAR ES SALAAM)
Bilesi General Supplies(Dar)
Kwa Upande wa Limited Company
- Elie Chansa (Arusha)Nimeshamsajilia Company(ilichukua takribani wiki mbili mpaka kukamilika......(Certificate of Incorporation ya TUCK AND ROLL COMPANY LIMITED nimemkabidhi 3rd Appril alipokuja Dar
- nimemkabidhi muhusika ambaye sikufahamu jf id yake Certificate of Incorporation-ya KAE CREDIT AND FINANCE LIMITED (DAR)
- J&K QUALITY SERVICE LIMITED(DAR ES SALAAM)hii ni company nyingine mpya niliyomsajilia JF member, uzuri wa kazi hii certificate imetoka muda mfupi zaidi ndani ya week hiyo tuliyolipia, ila kuna gharama tulikubaliana kufanikisha hilo ( April 2014 )
- KIWALANI MICROCREDIT AND INVESTMENT COMPANY LIMITED(DAR) May, 2014 .Awali niliwasajilia kama business name na ilikuwa ni KLN INVESTMENT GROUP miezi minne iliyopita
- Pia nimefanya kazi na jf member wa id ya GreenHouse(Dar ) limited company yake inafanya kazi rejea thread yake jukwaa hili la ujasiliamali
- JAE & BOMA LIMITED (Hai ) JUNE 2014, nimeanya kazi na jf member wa hii Id Simburya.
- COMMUNITY SUPERMARKET & COMPANY LIMITED(DAR ES SALAAM ) Nimemkabidhi kazi hii 30 June 2014
Nawashukuru wote wanaondelea kuniamini kufanya kazi na mimi kazi huku hawanijui zaidi ya hii JF ID,mnanijengea CV nzuri kwa kazi za mtandaoni hasa kuhusu usajili.
Nawakaribisha wengine niwasaidie aidha kwa ushauri ama kwa vitendo kuhusu usajili wa Business Names na Company Limited.
Niliowataja IDS zenu samahani kama itawaletea usumbufu,ila nimefanya hivi ili wengine ambao hawajafahamu kuhusu kazi ninazofanya ,basi wafahamu na wawe na imani kupitia ninyi
----------
Updates
kuhsiana na gharama za usajili kwa mujibu wa Brela kuanzia company ya mtaji mdogo kabisa hadi mkubwa zaidi soma post na 28 kwenye hii thread .
Pia naweza speed process za usajili , ila ni "kwa nguvu za ziada" ikiwa wewe muhusika utataka hivyo japo gharama zitaongezeka.
nipigie
0712 74 22 33 Kwa swala linalohusu usajili Brela .