Jinsi ya kushauri mabinti wasishiriki ngono

Jinsi ya kushauri mabinti wasishiriki ngono

Tatizo la kugegedana mapema kwa watoto wa kike inatokana hamu kubwa ambayo kwa wao ni wageni kuweza kuizuia, cha msingi 'mzazi, dada au kaka sema nae kuhusu kusubiri', madhara ya kuanza kugegedana mapema ni kupoteza umakini kwenye masomo.
hivi unaanzaje kuwa na hamu ya kitu ambacho hujawai kukila na kujua ladha yake jamani? hapa tuseme wanakuwa na tamaa lkn sio hamu na hii tamaa wanaipata kutokana na stori za marafiki zao au kuangalia hizo mapicha machafu
 
hivi binti ambaye hajawai kufanya mapenzi kabisaa hizo.............zinatoka wapi kwa mfano?kama sio vile anakaa na wenzie anawasikiliza na yeye anakuwa na tamaa tu yakutaka kujua na kule kujua ndio huko kuharibika
Labda kama sijakuelewa, hivi umemaanisha ukimkuza binti asikutane na yeyote (ndani) akifikisha umri wa balehe hizo........hazimpati kwakuwa hajawahi kusikia hayo au?
 
ni bora umkabidhi box la CONDOMU tuu...vijana wengi huwa hawakubari kitu mpaka waone madhara yake. kikubwa ni sisi wenyewe tu kutokuwa makini maana enzi hizo kwa mtu mwenye umri huo angekuwa ameshaolewa...kwa kufuata western education...tumejikuta tunawaacha watoto wetu wasome huku tukisahau kuwa kuna matamanio kwenye miili yao...na kwakuwa hakuna maandishi yanayokataza mwanafunzi asiolewe ili kuepuka hayo naona ni bora ata kama mtoto atakuwa anasoma lakini umri wake wa kuolewa umefika bora aolewe uku anasoma....si vitabu vya dini tunavyoviamini havijakataza?
Point, atakuwa amempata mmoja tu atakayemlinda. Wanasaikolojia waje watujuze hili, kuna athari yoyote kielimu mtoto akiolewa huku anasoma pasi kupata mimba?
 
hivi unaanzaje kuwa na hamu ya kitu ambacho hujawai kukila na kujua ladha yake jamani? hapa tuseme wanakuwa na tamaa lkn sio hamu na hii tamaa wanaipata kutokana na stori za marafiki zao au kuangalia hizo mapicha machafu
Hapana, kufanya sex ni nature tu. Hata ukiwafungia mapacha wawili jinsia tofauti ndani pasi kuwaambia chochote kile umri ukifika watafanya tu. Ni kama ununuavyo wanyama na kuwafuga huwafundishi kufanya, asili itafanya kazi yake.
 
Kunywa Sumu Ufe,Pilipili Usiyoila Yakuwashia Nini? Ulivyokuwa Unasuguliwa Mpaka Inatoa Moshi Kuna Aliekuonea Wivu?? Kitulize Kama Tushakichoka Nenda Kakiupgrade. Umechina Umechacha Umevunda. Jidada Zima Ovyoo,Au Unataka Uwasage? Tuliza Mpapa Watu Tule Vitu Sealed Vyenye Warranty,Sio Wako Hata Haueleweki Mbele Wapi Nyuma Wapi.
 
Huwa nahisi tuwaambie tu ukweli kinaga ubaga, tusiwafiche eti kufanya ni dhambi au si tendo zuri au wataumia nk. Hapa hawatatuelewa, wanatuona sisi tunafanya, tuwaambie umuhimu wa kusubiri. Madhara ya kufanya kabla ya kuolewa, mfano maradhi, kutoswa, kuumizwa na mengine mengi tena kwa mifano.

Yote haya yafanyike kwa upendo na umakini mkubwa. Onesha unajua hali anayoipitia, na wote walizipitia, waliozishinda wakoje na walioshindwa wapoje. Labda watatuelewa.
 
inao
hivi binti ambaye hajawai kufanya mapenzi kabisaa hizo.............zinatoka wapi kwa mfano?kama sio vile anakaa na wenzie anawasikiliza na yeye anakuwa na tamaa tu yakutaka kujua na kule kujua ndio huko kuharibika
nekana wewe ni mnafiki,,,angalia hata watoto wadogo kabisa asubuhi lazima kidyudyu kisimame ,,sasa binti na kuvunja ungo tayari kwanini asiwe na hamu???kama sio mnafiki itakua bado hujakua au ulikeketwa ukiwa mchanga,,,shit
 
hahahahahahahahha mbona kama limekuwa lako hilo tuende taratibu tu tutafika mtoto inapomtokea vile huwa anajua ni nini?hahhahahah nimejikuta nacheka sana
 
Kunywa Sumu Ufe,Pilipili Usiyoila Yakuwashia Nini? Ulivyokuwa Unasuguliwa Mpaka Inatoa Moshi Kuna Aliekuonea Wivu?? Kitulize Kama Tushakichoka Nenda Kakiupgrade. Umechina Umechacha Umevunda. Jidada Zima Ovyoo,Au Unataka Uwasage? Tuliza Mpapa Watu Tule Vitu Sealed Vyenye Warranty,Sio Wako Hata Haueleweki Mbele Wapi Nyuma Wapi.
kabisaaaaaaaaaaaaaaa hivi unafikiri ungemjibu kwa hekima asingekusikia na kukuelewa yaani hapa ni bora ungenyamaza tu vitu vingine kujizalilisha tu daaaaahhh
 
Point, atakuwa amempata mmoja tu atakayemlinda. Wanasaikolojia waje watujuze hili, kuna athari yoyote kielimu mtoto akiolewa huku anasoma pasi kupata mimba?
serekali tu yenyewe hairuhusu.
 
kuna msemo unaosema maji yakizoleka hayamwagiki! Mimi ni muhanga wa hiyo methali, huwa najuta sana kwanini nilikuwa na mahusiano na bwana yule ila ni too late.

Sasa kwenye familia kuna mabinti wanapevuka wapo sec, wapo vyuo. Natamani wanielewe wasikubali kugegedwa, natamani niwe hata na password ya papuchi zao ila ndo hivo maamuzi yote yapo juu yao.

Je wadau kama upo na teenager unamshawishi vipi ili asipotee? Kuna kabinti kapo UD ana miaka 22 juzi amegegedwa wala haoni issue anaringa kabisa eti finnaly amemkiss na kuliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza. Roho imeniuma kidogo nife maana mtoto mwenyewe sasa. Basi tu.
Siku mabinti wakianza kukusikiliza wewe, dunia itakuwa jehanamu!
 
Back
Top Bottom