Jinsi ya kushauri mabinti wasishiriki ngono

Cha msingi ni kuwa karibu na mtoto kiasi cha kumfanya awe huru kukuambia kuhusu masuala yake ya kimapenzi, kumshauri awe responsible, ajipende, awe makini.

Lakini kusema ajitunze asifanye mapenzi mpaka sijui ndoa ni kujidanganya na kama wewe ni mzazi ni kujitafutia presha za bure.
 
kuna msemo unaosema maji yakizoleka hayamwagiki! Mimi ni muhanga wa hiyo methali, huwa najuta sana kwanini nilikuwa na mahusiano na bwana yule ila ni too late.

Sasa kwenye familia kuna mabinti wanapevuka wapo sec, wapo vyuo. Natamani wanielewe wasikubali kugegedwa, natamani niwe hata na password ya papuchi zao ila ndo hivo maamuzi yote yapo juu yao.

Je wadau kama upo na teenager unamshawishi vipi ili asipotee? Kuna kabinti kapo UD ana miaka 22 juzi amegegedwa wala haoni issue anaringa kabisa eti finnaly amemkiss na kuliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza. Roho imeniuma kidogo nife maana mtoto mwenyewe sasa. Basi tu.[/QUOTE
Huwezi kubishana na hisia hata siku moja au unataka waje wapatwe na ule ugonjwa wa kucheka hovyo?

Usibishane na hisia hata siku moja.. wataanza kucheka hovyo
 
kuna msemo unaosema maji yakizoleka hayamwagiki! Mimi ni muhanga wa hiyo methali, huwa najuta sana kwanini nilikuwa na mahusiano na bwana yule ila ni too late.

Sasa kwenye familia kuna mabinti wanapevuka wapo sec, wapo vyuo. Natamani wanielewe wasikubali kugegedwa, natamani niwe hata na password ya papuchi zao ila ndo hivo maamuzi yote yapo juu yao.

Je wadau kama upo na teenager unamshawishi vipi ili asipotee? Kuna kabinti kapo UD ana miaka 22 juzi amegegedwa wala haoni issue anaringa kabisa eti finnaly amemkiss na kuliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza. Roho imeniuma kidogo nife maana mtoto mwenyewe sasa. Basi tu.
Nipe namba zake nimpe adhabu...Mimi ni lecture hapo udsm
 
Kuna rafiki yangu alichelewa kugundua kama mtoto aliyezaa (wa miezi minne) kuwa kikojoleo kimeziba. Ni baada ya mtoto kusumbuliwa Sana na tumbo na kulia Sana usiku ndipo alichukua hatua za kukagua. Nilimtania kwa kumuambia kuwa "INGEKUWA SIO MBAYA KIAFYA USINGEMPELEKA KUFANYIWA UPASUAJI MPAKA AKIJA KUTOLEWA POSA AU KUOLEWA"
 
hivi binti ambaye hajawai kufanya mapenzi kabisaa hizo.............zinatoka wapi kwa mfano?kama sio vile anakaa na wenzie anawasikiliza na yeye anakuwa na tamaa tu yakutaka kujua na kule kujua ndio huko kuharibika
Vitu vingine ni nature. Hebu tafakari kwako ilikuaje then utacome na majibu. Mi nadhani ni suala la hormones
 
Binti wapi unaowazungumzia hawa mabongo fleva au wapi,wataacha vipi wakati media zimewafundisha kila kitu
 
kuna msemo unaosema maji yakizoleka hayamwagiki! Mimi ni muhanga wa hiyo methali, huwa najuta sana kwanini nilikuwa na mahusiano na bwana yule ila ni too late.

Sasa kwenye familia kuna mabinti wanapevuka wapo sec, wapo vyuo. Natamani wanielewe wasikubali kugegedwa, natamani niwe hata na password ya papuchi zao ila ndo hivo maamuzi yote yapo juu yao.

Je wadau kama upo na teenager unamshawishi vipi ili asipotee? Kuna kabinti kapo UD ana miaka 22 juzi amegegedwa wala haoni issue anaringa kabisa eti finnaly amemkiss na kuliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza. Roho imeniuma kidogo nife maana mtoto mwenyewe sasa. Basi tu.
Haiwezekani,lzm atagegedwa tu,la msingi mshauri ajilinde tu awe salama na pia sio kila mtu wa kumpa papuchi.
 
Daaa....ni ntihani mzito kwa ss wenye mabinti ila bado cjaona ushauri wa jinsi gani....
Nadhani ni kuwalea kwa hekima na uwazi huku ukiwajenga kuwa hofu ya Mungu
 
Huwezi zuia au kuwashauri wasishiriki ngono wakati miili yao imepevuka. Inachotakiwa ni kuwashauri option tofauti za zilizopo katika ishu za mahusiano kama ngono salama na umuhim wa kujilinda dhidi ya mimba pamoja na magonjwa ya zinaa.

Wanawake wengi vijana wanakua exploited kingono kama kulazimishwa kutotumia condom, kuliwa tigo bila ridhaa zao kwa sababu hawajafundishwa kuwa na msimamo na kusimamia maamuzi yao linapokuja suala la kufanya ngono. Zama hizi kumfundisha mtoto kusubiri ni kupoteza muda tu.
 
kabisaaaaaaaaaaaaaaa hivi unafikiri ungemjibu kwa hekima asingekusikia na kukuelewa yaani hapa ni bora ungenyamaza tu vitu vingine kujizalilisha tu daaaaahhh
Ungejua Huyu Kikongwe Mjaa Nyege Alivyojibu Kunya My Last Thread Usingeongea. Just Stay Out Of This Shit,Dear One.
 
Back
Top Bottom