Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Ile ni Hesabu ya kiwango cha juu na ndio maana ya kubeti ukigundua siri wala hutajuta kucheza hakuna cha laana wala nini kama uko fit jipange siku nikupe timu mbili na matokeo yake bureee kabisa utanishukuru mkeka ukitiki.
 
Mkuu Rawiti ni kweli bet ni hesabu na ndio maana iko kwenye mfumo wa namba ukigundua mchezo wa namba uliomo na jinsi ya kutegua basii wewe ni kuzoa mihela tu. Tafadhali tupe code.
Ile ni Hesabu ya kiwango cha juu na ndio maana ya kubeti ukigundua siri wala hutajuta kucheza hakuna cha laana wala nini kama uko fit jipange siku nikupe timu mbili na matokeo yake bureee kabisa utanishukuru mkeka ukitiki.
 
Mweeee mkuu kwelii??? Sio hayo maneno ukawa unamwita popobawa aje kukushughulikiaView attachment 1527960
Hapana mkuu unaita kiumbe ambaye anaweza kukusaidia katika kukokotoa hesabu za kubadhiri mara nyingi sisi hutumia baada ya kukamilisha hesabu ndio tunaangalia na yeye kaleta vipi.

Attachment ni Pm bet jana.
 
Ile ni Hesabu ya kiwango cha juu na ndio maana ya kubeti ukigundua siri wala hutajuta kucheza hakuna cha laana wala nini kama uko fit jipange siku nikupe timu mbili na matokeo yake bureee kabisa utanishukuru mkeka ukitiki.
Fanya ivo mkuu hat tmu mbil tu
 
Fanya ivo mkuu hat tmu mbil tu
Nitahitaji kujua siku saa na dakika ambayo mpira husika utachezwa na rangi ya jezi watakazovaa na upande upi itakaa timu ipi kipindi cha kwanza pia eneo watakalo kuwepo ni nchi gani.
Ukizijua hizo details unaweza kubashiri ushindani wowote katika nchi husika

Rakims
 
Daahh mkuu ongeza maelezo/nyama kidog ili nijiongeze mwenyew bado kuna vitu nakosa hapo
 
na rangi ya jezi watakazovaa na upande upi itakaa timu ipi kipindi cha kwanza pia eneo watakalo kuwepo ni nchi gani.
Ndio maana wenye kushinda sana beti za mipira ni wenye kubet live bet mkuu hususani watu wanaokuwa wanautizama mchezo katika asilimia [emoji817] ya watu wanaobeti mipira 85% hushinda live bet

Mmhh hay bana
 
NB:
Ingawa watu wengi wanashinda michezo ya bahati nasibu yenye majina mengi mengi mazuri, hii haifanyi kamari kuwa nzuri isipokuwa ni haramu kama haramu zingine tu

Dini zote zinakataza mambo haramu kumbuka.

Thread updated

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…