Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Umesema unaweka pesa na unaspin kvp? Toa maelezo yaliyoshibaMkuu Rakims muda huu nacheza naona nimefikisha 70 kutoka elf 4 yangu...
Je niendelee kucheza hadi nifikishe laki 3?View attachment 2486357
Mkuu hapo kwenye alama ya - + katikati ukiminya unakuwa unachagua pesa ya kuweka...Umesema unaweka pesa na unaspin kvp? Toa maelezo yaliyoshiba
Sio kweli mkuu labda ni editing sababu kuna limit ya win per round ambayo ni 10M hiyo 57M kaipataje?Huyu mshenzi kaweka 964.19tshs kapiga M57 leo; kudadeki
View attachment 2485221
Mkuu unastake kiasi gani kwa kila round? Huu mchezo naupenda pia lakini sina hela ya kuucheza. Mara nyingi nacheza kwa stake ya mia miahiyo elfu 2 uliyosema niweke imeleta 40000 mkuu....na ndo nikafikisha 70... Rakims View attachment 2486359
Mkuu inaanzia 400 so unastake unavyoona wewe ....japo bahati zinadondokea popote tu..Mkuu unastake kiasi gani kwa kila round? Huu mchezo naupenda pia lakini sina hela ya kuucheza. Mara nyingi nacheza kwa stake ya mia mia
Kila platform Ina limiti yake.Sio kweli mkuu labda ni editing sababu kuna limit ya win per round ambayo ni 10M hiyo 57M kaipataje?
Ila pia kuna marobot humo wa kutuchota akili wanaweka stake kubwa halafu hacash out mpaka analiwa.View attachment 2486570
List ni ndefu haijaishia kwako [emoji1783]Me naitaka jackpot ya sportpesa
[emoji1783] aviator ukistake low odds zinapanda hadi 8+ weka teni sasa [emoji1783][emoji1783][emoji91]Mkuu Rakims vipi uwezekano wa kushinda mil 10 kupitia Aviator .....hii spell itafaa pia??
Jaribu pia ya 88bet utakuja kunishukuruKindege kinapaa ....muda unavyoongezeka Kwa hiyo ndege kukaa hewani ndio na pesa yako inaongezeka, Sportybet ipo unaweza angalia kwenye upande wa games.
Jaribu pia ya 88bet utakuja kunishukuru
Pole sikuwa online mkuuMkuu Rakims muda huu nacheza naona nimefikisha 70 kutoka elf 4 yangu...
Je niendelee kucheza hadi nifikishe laki 3?View attachment 2486357
Sawa fuata michezo miwili tofauti kwa maana ili uweze kupata rangi yenye nguvu zaidi na wewehiyo elfu 2 uliyosema niweke imeleta 40000 mkuu....na ndo nikafikisha 70... Rakims View attachment 2486359
Mkuu asante sana... Ni kweli upo sahihi nilikomaa na hiyo Hadi nimebakia na elfu 10 tu.. ila nimejifunza nakuwaga na bahati na rangi ya kijani maana hii spell nimewahi ifanya nikashinda laki 3 kwenye spin the bottle.. nikicheza kijani tu.Sawa fuata michezo miwili tofauti kwa maana ili uweze kupata rangi yenye nguvu zaidi na wewe
Asante mkuu hamna shida.Pole sikuwa online mkuu
Tupo pamojaMkuu asante sana... Ni kweli upo sahihi nilikomaa na hiyo Hadi nimebakia na elfu 10 tu.. ila nimejifunza nakuwaga na bahati na rangi ya kijani maana hii spell nimewahi ifanya nikashinda laki 3 kwenye spin the bottle.. nikicheza kijani tu.
Nitarudia kutafuta mahitaji na pesa elfu 12 nifanye tena mkuu. Kwa utulivu zaidi.
Sawa sawa,Ni kweli mkuu kushinda pesa kubwa unahitaji ujuzi wa rangi pia.. mfano kipindi nashinda hiyo laki 3 nilivaa red na violet na Jana ndo nimesomea vizuri nikagundua ndio rangi zangu za bahati.