Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

hapana mkuu ushauri wangu fanya leo saa sita usiku ukiwa na nia thabiti saa 6 usiku ni kwa leo tu ndio saa ndoto zinatawala jitahidi leo ufanye saa 6 usiku ukiwa umewasha udi na nia thabiti ya kutaka ushudie hilo na sio kujaribu na hakikisha ukijilaza usigeuke upande wowote hadi usingizi ukupitie na utakapo shtuka asubuhi usiguse sehemu ya kichwa hadi umalize kuiandika ndoto yako na pia kama umeshtuka kabla ya asubuhi muda huo huo ulioshtuka andika ndoto hiyo hapa yoyote utakayo ota post hapa takupa maana yake na mchezo unaotakiwa kubet, usiishie hapo leta mrejesho kamili ndoto yoyote wewe sema, na pia kama uliifanya kwa usahihi na hujaona majibu fuata maelekezo haya niliokupa na ufanye wa saa 11 jioni na ulale kama nusu saa au lisaa moja halafu niambie ulichoota

rakims
sasa mkuu! unapotoa maelekezo ni vyema ukatoa maelekezo yaliyokamilika na si nusu nusu

maana ulivyoelekeza pale juu tofauti na ulivyoelekeza hapa chini nadhani hata wewe mwenyewe unaona

hapa chini kuna vitu vimeongezeka kama kulala kuanzia saa sita, ukilala upande mmoja hutakiwi kuveuka, kuchoma udi, usijishike kichwani, uandike ndoka uliyoota pale unaposhtuka

sasa hivi vitu vyote ulitakiwa uviandike kwa pamoja ili mtu ajue mahitaji ni kitu fln
 
Bakuli la kigai cheupe na shilingi zinatakiwa ziwe 100,200,500 ziwe elfu 12 na rose water recomanded kale kadogo, best time usiku, ukiwa peke yako na utulize mawazo na akili bila woga wala fikra zingine mkuu, fanya hivyo you will donate 100 bucks for me too

Rakims
sasa we ndio unatuuza hapo kaka , mbona muda wote unaongeza mambo!? sasa hv unasema bakuli la kigaye cheupe na sarafu ziwe za 12 elf! sasa .walimu gani hutoi maelekezo ya kutosha? mtu akiyafanya ayo utaongeza tena kitu ki gine.

unatakiwa utoe maelezo yanayojitosheleza kama
 
sasa mkuu! unapotoa maelekezo ni vyema ukatoa maelekezo yaliyokamilika na si nusu nusu

maana ulivyoelekeza pale juu tofauti na ulivyoelekeza hapa chini nadhani hata wewe mwenyewe unaona

hapa chini kuna vitu vimeongezeka kama kulala kuanzia saa sita, ukilala upande mmoja hutakiwi kuveuka, kuchoma udi, usijishike kichwani, uandike ndoka uliyoota pale unaposhtuka

sasa hivi vitu vyote ulitakiwa uviandike kwa pamoja ili mtu ajue mahitaji ni kitu fln
Huo ni mkazo tu na msisitizo wa mada husika
 
Duh nitajaribu na hizo silver zinatakiwa ziwe ngapi kwa idadi? Au hata kumi zinatosha
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Maisha magumu sana acha niendelee kucheka tu
 
Wakuu kama kuna mtu ameshafanyia kazi hili andiko naomba mrejesho wa matokeo yake
 
Dah...cha Ajabu sijawahi sikia Rakims ameshinda kamari yoyote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...Sijawahi kuona Maneno yanayotakiwa kutamkwa kwenye Ganguzi mbali mbali, yakini Chini ya 100!
Ni lazima yawe Mia na Kuendelea! [emoji57]
Nasubiri siku kuambiwa ' Rudia maneno haya,,, Mara Kumi TU [emoji1][emoji1][emoji1]!!
 
Back
Top Bottom