Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

uje useme majibu utakayo pata .
[emoji3][emoji3][emoji3] ni wahuni.
Screenshot_2023-02-04-13-10-08-86.jpg
 
Deep down unajua kua wewe ndio Mhuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaza ubongo kaka.
Wanakulipa nini mpaka unawatetea hivyo, nimekuwekea ushahidi wote hapo, haya wewe balance yako si ni 2M+ fanya transaction hata ya 10K tu uiweke hapa tuone.
 
Sawa kwako zinatoka, kwangu wamezingua wameifungia account baada ya kuwapiga 3M+ wanasema nimefanya unusual transaction.
kumbe wamekupa na reason kabisa ,pita hiyo njia utanishukuru baadae
 
Uliweka kiasi gani ukawapiga hiyo hela?
Walinipa bonus ya 1k baada ya kujiunga nika deposit 1k ikawa 2k, nikacheza mara ya kwanza nikala, nikawa narudia mara kadhaa zote nikawapiga. Ilivyo fika 20, nikaigawa.

10k nikawa nacheza sloth, 6k nacheza head and tail halafu 4k nacheza dice rolling. Nilichogundua kwenye sloth kila nikiotea namba nakula ila kwenye head and tail pamoja na dice rolling napoteza.

Nilichokifanya sasa pesa yote iliyobaki nikawa nacheza sloth mfano nimeweka 10k nakula 20k nachofanya naweka 15k tena nakula 30k napanda dau tena naweka 25k nikila 50k napanda tena naweka 40k hivyo hivyo ilipo fika 800k nikaweka 500k mara 3 mara mbili nikala mara moja ikazingua kutoa mshindi inaniaambia bado inachakata mzunguko.

Nikaona isiwe kesi nikafanya miamala kadhaa cha ajaabu yote ikawa pending harafu hilo game la sloth wakaliondoa kwenye system. [emoji3][emoji3]

Angalia hapo chini wamelitoa kabisa [emoji116][emoji116]

Screenshot_2023-02-04-16-41-18-47.jpg
 
hahaha ni kweli clovers haipatikani tena.. ipo 7and fruits na ndio naona inanisogeza kias....pia 100 lines ya 7 and fruit ..

Mimi bado yuzi rasi min sari sasi na rose water mpaka nifike 10mil mkuu... sina amani kabisa.

Nikipata hiyo hela lazima nikutengee hata laki 1 mkuu.
Wewe ni hatari yani nakufundisha kupata milioni 10 unataka kunipa laki? Si bora ukae nayo tu.
 
Wewe ni hatari yani nakufundisha kupata milioni 10 unataka kunipa laki? Si bora ukae nayo tu.
Mkuu hiyo mbona kubwa, huyu mtu anashida na pesa ndefu sana. 10M kuipata through betting siyo mchezo.
 
Back
Top Bottom