Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]Hongera mkuu. Kama umefanikiwa kutoa hata kidogo inatosha. Ngoja nitafute mtaji nianze na mimi, labda nitatoboa
Pole, jaribu makampuni mengine ambayo ni common, hiyo jupita tangia jana naifungua inasema ipo kwenye maintenance[emoji3][emoji3]
Sijafanikiwa kutoa hata senti, miamala yote wameipiga pending, baadae mdau wa humu (ambae nahisi ni mmoja wao) kanipa namba yao wamekuja na sababu ya kijinga sana kua nimefanya unusual transaction ikbidi nicheke tu.
Nahisi jamaa jana aliwashangaza sana ,wakapiga chini system yote toka jana haikua hewani but now imerudi tho huo mchezo alio usema jamaa haupo tenaPole, jaribu makampuni mengine ambayo ni common, hiyo jupita tangia jana naifungua inasema ipo kwenye maintenance
Sasa huo mchezo mbona me ndio nilikuwa nautakaNahisi jamaa jana aliwashangaza sana ,wakapiga chini system yote toka jana haikua hewani but now imerudi tho huo mchezo alio usema jamaa haupo tena
[emoji23]
Nahisi jamaa jana aliwashangaza sana ,wakapiga chini system yote toka jana haikua hewani but now imerudi tho huo mchezo alio usema jamaa haupo tena
[emoji23]
wale utoa bana me mwenyewe natautaka
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapumbavu sana.Pole, jaribu makampuni mengine ambayo ni common, hiyo jupita tangia jana naifungua inasema ipo kwenye maintenance
Akili kichwani kwako we wasomee rada unaweza wapiga ila ni waahuni.Toka juzi ilikuwa inazingua kila nikifuata ile link uliweka walidai kuna Maintenance (matengenezo) ila leo naona imekubali. Nimefanya usaili hapa nataka niongeze kiasi ili kazi ianze, ila wasi wasi wangu ni hapo kwenye hayo matengenezo isije kuwa wameisha shitukia mchezo wakabadili kila kitu.
[emoji3][emoji3]
Sijafanikiwa kutoa hata senti, miamala yote wameipiga pending, baadae mdau wa humu (ambae nahisi ni mmoja wao) kanipa namba yao wamekuja na sababu ya kijinga sana kua nimefanya unusual transaction ikbidi nicheke tu.
[emoji3][emoji3] ana namba yake alinipa ina usajiri wa USA kwa kudai ni namba yao hao wenye io kampuni(huduma kwa wateja). Kiufupi nae ni mmoja wa hao developer wa site yao io.Achana na hao ni wahuni sana, leo nilijaribu ku deposit hela kwenye account. Nikafuata taratibu zote kama walivyo elekeza, nimesubili sana zaidi ya nusu saa ili pesa iwekwe kwenye account. Baadae naambiwa nimekosea kuweka namba ya lipa. Nilishangaa sana maana ile namba ilikuwa sahihi kabisa tena niliinakiri sehemu kwa ufasaha kabisa. Jamaa wakaniambia nimekosea namba moja nikaona hapa nisha pigwa, ni matapeli hawana lolote.
Na huyu jamaa anae pigia promo hii ishu nahisi huu mchezo wa kihuni anaufanya yeye maana naona akipita kwenye majukwaa ata kule kwenye uzi wa kubet akiweka bandiko lake. Nahisi huyo jamaa kuna namna amefanya ukiweka hela inakwenda kwake
[emoji3][emoji3] ana namba yake alinipa ina usajiri wa USA kwa kudai ni namba yao hao wenye io kampuni(huduma kwa wateja). Kiufupi nae ni mmoja wa hao developer wa site yao io.
Wamekupiga kiasi gani?.
Mzee mbona ulijilipua parefu, pamoja na kusema uwe makini.30k, huyo mimi najua namna ya ku deal nae
Mzee mbona ulijilipua parefu, pamoja na kusema uwe makini.
Pole aiseeeKutoka na maelezo yake hiyo pesa ndio ilibidi iwe deposit kwa mara ya kwanza, alafu kingine sikujua kuna uhuni kwenye ku deposit.
Pole aiseee
Eee mbona mi nilimwambia ukweli kabisa kua nae ni mhusika maana io site ina mapungufu kibao balaa, walicho fanya wamechukua jina la kampuni ina itwa JUPITER CASINO wao wakaita JUPITA.Nahisi hilo li casino ni huyo muhuni na genge lake wamelitengeneza wala sio wa Marekani kama alivyo kupa ile namba.
Eee mbona mi nilimwambia ukweli kabisa kua nae ni mhusika maana io site ina mapungufu kibao balaa, walicho fanya wamechukua jina la kampuni ina itwa JUPITER CASINO wao wakaita JUPITA.
Poa poa fanya hivyo.Huyo nadeal nae nisha anza mchakato