Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Hongera mkuu. Kama umefanikiwa kutoa hata kidogo inatosha. Ngoja nitafute mtaji nianze na mimi, labda nitatoboa
[emoji3][emoji3]

Sijafanikiwa kutoa hata senti, miamala yote wameipiga pending, baadae mdau wa humu (ambae nahisi ni mmoja wao) kanipa namba yao wamekuja na sababu ya kijinga sana kua nimefanya unusual transaction ikbidi nicheke tu.
 
Pole, jaribu makampuni mengine ambayo ni common, hiyo jupita tangia jana naifungua inasema ipo kwenye maintenance
 
Nahisi jamaa jana aliwashangaza sana ,wakapiga chini system yote toka jana haikua hewani but now imerudi tho huo mchezo alio usema jamaa haupo tena
[emoji23]
 
Toka juzi ilikuwa inazingua kila nikifuata ile link uliweka walidai kuna Maintenance (matengenezo) ila leo naona imekubali. Nimefanya usaili hapa nataka niongeze kiasi ili kazi ianze, ila wasi wasi wangu ni hapo kwenye hayo matengenezo isije kuwa wameisha shitukia mchezo wakabadili kila kitu.

Akili kichwani kwako we wasomee rada unaweza wapiga ila ni waahuni.
 
Achana na hao ni wahuni sana, leo nilijaribu ku deposit hela kwenye account. Nikafuata taratibu zote kama walivyo elekeza, nimesubili sana zaidi ya nusu saa ili pesa iwekwe kwenye account. Baadae naambiwa nimekosea kuweka namba ya lipa. Nilishangaa sana maana ile namba ilikuwa sahihi kabisa tena niliinakiri sehemu kwa ufasaha kabisa. Jamaa wakaniambia nimekosea namba moja nikaona hapa nisha pigwa, ni matapeli hawana lolote.

Na huyu jamaa anae pigia promo hii ishu nahisi huu mchezo wa kihuni anaufanya yeye maana naona akipita kwenye majukwaa ata kule kwenye uzi wa kubet akiweka bandiko lake. Nahisi huyo jamaa kuna namna amefanya ukiweka hela inakwenda kwake
[emoji3][emoji3]

Sijafanikiwa kutoa hata senti, miamala yote wameipiga pending, baadae mdau wa humu (ambae nahisi ni mmoja wao) kanipa namba yao wamekuja na sababu ya kijinga sana kua nimefanya unusual transaction ikbidi nicheke tu.
 
Achana na hao ni wahuni sana, leo nilijaribu ku deposit hela kwenye account. Nikafuata taratibu zote kama walivyo elekeza, nimesubili sana zaidi ya nusu saa ili pesa iwekwe kwenye account. Baadae naambiwa nimekosea kuweka namba ya lipa. Nilishangaa sana maana ile namba ilikuwa sahihi kabisa tena niliinakiri sehemu kwa ufasaha kabisa. Jamaa wakaniambia nimekosea namba moja nikaona hapa nisha pigwa, ni matapeli hawana lolote.

Na huyu jamaa anae pigia promo hii ishu nahisi huu mchezo wa kihuni anaufanya yeye maana naona akipita kwenye majukwaa ata kule kwenye uzi wa kubet akiweka bandiko lake. Nahisi huyo jamaa kuna namna amefanya ukiweka hela inakwenda kwake
[emoji3][emoji3] ana namba yake alinipa ina usajiri wa USA kwa kudai ni namba yao hao wenye io kampuni(huduma kwa wateja). Kiufupi nae ni mmoja wa hao developer wa site yao io.

Wamekupiga kiasi gani?.
 
30k, huyo mimi najua namna ya ku deal nae
[emoji3][emoji3] ana namba yake alinipa ina usajiri wa USA kwa kudai ni namba yao hao wenye io kampuni(huduma kwa wateja). Kiufupi nae ni mmoja wa hao developer wa site yao io.

Wamekupiga kiasi gani?.
 
Kutoka na maelezo yake hiyo pesa ndio ilibidi iwe deposit kwa mara ya kwanza, alafu kingine sikujua kuna uhuni kwenye ku deposit.
Mzee mbona ulijilipua parefu, pamoja na kusema uwe makini.
 
Nahisi hilo li casino ni huyo muhuni na genge lake wamelitengeneza wala sio wa Marekani kama alivyo kupa ile namba.
Eee mbona mi nilimwambia ukweli kabisa kua nae ni mhusika maana io site ina mapungufu kibao balaa, walicho fanya wamechukua jina la kampuni ina itwa JUPITER CASINO wao wakaita JUPITA.
 
Huyo nadeal nae nisha anza mchakato

Back
Top Bottom