Jinsi ya Kushughulika na Mtoto Mwenye Milipuko ya Hasira

MTOTO MWENYE MILIPUKO YA HASIRA..

Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣
 
Mnalea kimayai sana hao akina JUNIO, hata neno KIBURI mnaliremba na kuita MLIPUKO WA HASIRA!!
 
Wakat mwingine ni dalili ya ugonjwa, kuna dogo miaka mi4 ana hiyo tabia basi akiwa na hasira anajipigiza ukutani au anajitupa chini ukimwangalia usoni ana makovu kama vile labda baba yake anazimiaga sigara usoni pake
 
DAH

Mim nina mtoto wa kike, mwaka mmoja na miezi kama minne hivi, asee yaani ni ana lipuka hasira hatari, kanagalagala, kanajipigisha chini then ukikakosea kanasusa... nakasubiri kafike miaka miwili nikaanzishe stick kutwa mara tatu, sipendi ujinga mim
 
😂😂😂😂😂Dah hivi vitoto vimesahau Kama sisi Wazazi wao Ni waafrica
 
Mmnh! Hzo mbinu n za watoto wa kizungu, lkn hapa kwangu n mabanzi maangumi na mateke na milipuko yake inaishia humo humo.

Kuna watoto bila kuwaduga mabakora ya kutosha hawakai kweny reli.........n kuwarejesha kwny reli kilazma na mabanzi.
 
DAH

Mim nina mtoto wa kike, mwaka mmoja na miezi kama minne hivi, asee yaani ni ana lipuka hasira hatari, kanagalagala, kanajipigisha chini then ukikakosea kanasusa... nakasubiri kafike miaka miwili nikaanzishe stick kutwa mara tatu, sipendi ujinga mim

Hahahahhahahha kamejisahaulisha, yan watoto wa kibongo bla stik hawakai kweny mstari
 
Hasira,tabia za ajabu kama udokozi nilizizima Kwa bakora Kwa kijana wangu ninayemlea(ni mtoto wa kaka,nilimchukua akiwa mdogo wa miaka Saba).Nina style yangu ya kuchapa namwambia alale chini Ili niyafikie makalio vizuri.Sasa hivi amekuwa kijana mzuri sana ,miaka 15,na amefanya vizuri mno mitihani ya taifa form two(div I points 7)
 
Hongera sana kaka, umekuza sasa
 
Back
Top Bottom