Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,311
Reaction score
1,297
Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo.
Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya yafuatayo

Kila siku usiku chukua alovera then ikate ili kupata ile gel baada ya hapo pakaa hiyo gel kwenye chuchu hakikisha unapakaza chuchu yote,fanya hivi daily hadi utapoona na kuridhika na matokeo.

NB:
Usifanye hivo ukiwa unanyonyesha sababu alovera ni chungu na ukali wake haupotei haraka hivo inaweza pelekea mtoto kukataa kunyonya so kama unanyonyesha subiri umalize kwanza ndo uanze kufanya hii kitu.

Msisahau mrejeshoooooooo
 
Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo.
Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya yafuatayo
Kila siku usiku chukua alovera then ikate ili kupata ile gel baada ya hapo pakaa hiyo gel kwenye chuchu hakikisha unapakaza chuchu yote,fanya hivi daily hadi utapoona na kuridhika na matokeo.
NB:Usifanye hivo ukiwa unanyonyesha sababu alovera ni chungu na ukali wake haupotei haraka hivo inaweza pelekea mtoto kukataa kunyonya so kama unanyonyesha subiri umalize kwanza ndo uanze kufanya hii kitu.
Msisahau mrejeshoooooooo
Acha kufundisha wake zetu,
Utakuwa adui wa watoto mshamba weeh hutaki wanyonyeshe watoto wetu..
 
Mhii hii njia mbona ni rahis sanaa mm nlijuaa ina mloloongo bc itakuwa ni ya uongo mtupu unataka kuwapotezea watu muda wao tuu wewee...
 
Back
Top Bottom