Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

Dah....kumbe ndiyo maana nasikia ladha ya uchungu uchungu siku ya 3 sasa[emoji15] [emoji87]
 
Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo.
Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya yafuatayo
Kila siku usiku chukua alovera then ikate ili kupata ile gel baada ya hapo pakaa hiyo gel kwenye chuchu hakikisha unapakaza chuchu yote,fanya hivi daily hadi utapoona na kuridhika na matokeo.
NB:Usifanye hivo ukiwa unanyonyesha sababu alovera ni chungu na ukali wake haupotei haraka hivo inaweza pelekea mtoto kukataa kunyonya so kama unanyonyesha subiri umalize kwanza ndo uanze kufanya hii kitu.
Msisahau mrejeshoooooooo

Zisimame ili iweje? kuna mashindano ya chuchu zilizosimama? Asee nyie jamaa ni wa kuhurumiwa tu sam taimu. Laiti mungejua tunachokitafuta kwenu musingehangaika na hayo mambo.
 
Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo.
Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya yafuatayo
Kila siku usiku chukua alovera then ikate ili kupata ile gel baada ya hapo pakaa hiyo gel kwenye chuchu hakikisha unapakaza chuchu yote,fanya hivi daily hadi utapoona na kuridhika na matokeo.
NB:Usifanye hivo ukiwa unanyonyesha sababu alovera ni chungu na ukali wake haupotei haraka hivo inaweza pelekea mtoto kukataa kunyonya so kama unanyonyesha subiri umalize kwanza ndo uanze kufanya hii kitu.
Msisahau mrejeshoooooooo
Aaaah asante dada
 
Njema saaana
708dcc70d20a5d91a914697d6d355ea8.jpg
 
Kwa kutafuta nini?kama yamelala yamelala tu achana na hizo porojo.Waliyataka wenyewe.Kutoa mimba sana na kunyonyesha watu wenye meno 32 'deilee'
 
Back
Top Bottom