Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ridiculous
 
Kwani ikilala kuna tatizo? Isimame ili iweje?

Kama umri umeenda haurudi nyuma.
Hata tufanye madoido ya kila aina .

Duuuh! Wanawake tuna mambo mengi aisee.
Sio kila lililolala umri unaenda au kanyonywa sana ....noh n baadh ya mambo husababishwa .....nlikutana na cousins yangu n mzur balaa kila kitu anacho ila chuchu .....duuuh
 
Aina gani ya alovela maana kuna aina nyingi za alovela
 
Usije ukawafanya wanawake wwnzako,wapate kansa za matiti kwa ushauri huu wa ajabu ajabu... Usio na taaluma yoyote ya kitabibu.
 
NB:
Usifanye hivo ukiwa unanyonyesha sababu alovera ni chungu na ukali wake haupotei haraka hivo inaweza pelekea mtoto kukataa kunyonya so kama unanyonyesha subiri umalize kwanza ndo uanze kufanya hii kitu.

Msisahau mrejeshoooooooo
Mkuu na sisi watoto wakubwa tunaonyonyeshwa unashauri tufanyaje tusisikie huo uchungu tunaponyonya?..

sitasahau leta mrejesho
 
Pigeni deki sana, ile ya kizamani ya kuinama, baada ya muda yataendelea kusimama yenyewe.
 
Dada kweli?Nina MTU wangu namkubal tatizo ni hili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…