Tetesi: Jinsi ya kutabiri miaka yako ya kuishi kwa kutumia smart phone

Kama umezaliwa mwaka 86 basi unakufa mwaka huu huu.
Me yakwangu ina 86% [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960], ila mkuu wewe bangi kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Viroba avipo siku izi iyo ni pombe gan?k-vant au?
Ukiona hivyo mzee umebakiza miezi miwili. Andika wosia mapema mkuu. Shauri yako
Wewe endelea kujifanya hamnazo
 
Duh!jamiiforum ni Raha sana yani mtu anamwambia mwenzake kabakisha miezi 2
 
Aisee inasikitisha, sasa wewe mtoa mada mimi yakwangu imezima kabisa hivi sasa.
Kwahiyo unasemaje sasa kwambaaa...........
 
...Unaposema 'Asilimia' una maana gani? tuanzie hapo kwanza.....chaji, bei ama nini ? [emoji848][emoji848]
 
Hivi jamii forum bado ina hadhi? Ama mayo unaanza kuingia kwenye udaku.
 
We kilaza
Asante sana. Vilaza tupo wengi humu ndo maana nimehoji kama bado forum hii ina great thinkers kama mwanzo naanza kupata picha kwamba kumbe vilaza ni wengi Bali wengine hawajajitambua.
 
Asante sana. Vilaza tupo wengi humu ndo maana nimehoji kama bado forum hii ina great thinkers kama mwanzo naanza kupata picha kwamba kumbe vilaza ni wengi Bali wengine hawajajitambua.

Ungekuwa sawasawa kichwani ungepaswa kufahamu kwamba this was just a joke.

Umejiona sasa ulivyo kilaza?
 
kuna siri kubwa sana kuhusu kifo.
hakuna mwanasayansi, mnajimu, mganga wa kienyeji, sheikh wala mchungaji anayejua kuhusu yeye mwenyewe atakufa lini au binadamu mwenzie atakufa lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…