Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti eeeh!Kama umezaliwa mwaka 86 basi unakufa mwaka huu huu.
Kesho hulioni jua hahahaAisee inasikitisha, sasa wewe mtoa mada mimi yakwangu imezima kabisa hivi sasa.
Kwahiyo unasemaje sasa kwambaaa...........
...Unaposema 'Asilimia' una maana gani? tuanzie hapo kwanza.....chaji, bei ama nini ? [emoji848][emoji848]Unataka kujua utakufa mwaka gani?
Unataka kujua umebakiza miaka mingapi kufa?
Huhitaji kwenda kwa babu. Unaweza kujua yote hayo kwa kutumia smart phone yako.
Unataka kujua inavyo kuwa? Just follow my lead
Step one : Chukua smart phone yako kisha angalia ina asilimia ngapi.
1. Kama asilimia ni kubwa kuliko umri wako basi utakufa pindi umri wako utakapo kuwa sawa sawa na asilimia hiyo.
Mfano una miaka 30 halafu simu yako ina asilimia 36 basi utakufa ukiwa na miaka 36.
2. Kama asilimia ni ndogo kuliko umri wako mfano wewe una miaka 30 na simu yako ina asilimia 25 basi chukua 30 toa hiyo 25 jibu utakalo pata ndio miaka uliyo bakiza. Kwa hiyo hapo umebakiza miaka mitano ya kuishi.
Jitahidi kutenda mema kwa sababu haujui utakufa lini.
Anyways based on this thread please comment miaka uliyo bakiza kuishi.
Unataka kujua utakufa mwaka gani?

Asante sana. Vilaza tupo wengi humu ndo maana nimehoji kama bado forum hii ina great thinkers kama mwanzo naanza kupata picha kwamba kumbe vilaza ni wengi Bali wengine hawajajitambua.We kilaza
Asante sana. Vilaza tupo wengi humu ndo maana nimehoji kama bado forum hii ina great thinkers kama mwanzo naanza kupata picha kwamba kumbe vilaza ni wengi Bali wengine hawajajitambua.