Tetesi: Jinsi ya kutabiri miaka yako ya kuishi kwa kutumia smart phone

Crappy
 
Mungu akamwambia Mussa ' Nitakufanya kuwa Mungu wa Farao" . I am.Moses and ur Pharaoh. I am ur god. Thats why u blv in everything that come out of me.

Me i was just playing and u have took it serious!!! U must be sick.

U should worship the ground am walking
 
Mkuu umepiga cha Arachuga au Mbeya
Hivi shule huwa mnaenda kusomea ujinga? Cant u see i was just playing?..

Ur a person of weak intellect. U cant differentiate between overall and all over
 
Good Loord

Umeandika lugha gani

Hii ni crappy zaidi aisee

Me I was
You have took it everything that come


Good Loord
 
Nikiendeleza masala na kilaza hakika nami nitakuwa kilaza. Great thinkers think big they don't think jokes " so far what is you level of education"? Maana education matters.
Ungekuwa sawasawa kichwani ungepaswa kufahamu kwamba this was just a joke.

Umejiona sasa ulivyo kilaza?
 
nahisi jamiiforum itakua watu wenye nyuzi nyingi huenda wakawa wanapata mgao wa maokoto,,maana nmeshuhudia watu weng wanaandika nyuzi hazina mbel wala nyuma lakin ilimradi tu aandike ,,,kwani hivi wakuu mtu akitupia mada mara kwa mara humu jamii forum je kuna malipo hua anapata???
 
Simu ina asilimia 1, na nna miaka 37
 
Taktaka tupu tuondolee wewe ni junun funun aka Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…