Ktk utawala huu vichaa wataongezeka sana, hata wewe tayari ni kichaaTuanze kutabiri umri wako kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktk utawala huu vichaa wataongezeka sana, hata wewe tayari ni kichaaTuanze kutabiri umri wako kwanza.
Wewe ni kilaza
CrappyUnataka kujua utakufa mwaka gani?
Unataka kujua umebakiza miaka mingapi kufa?
Huhitaji kwenda kwa babu. Unaweza kujua yote hayo kwa kutumia smart phone yako.
Unataka kujua inavyo kuwa? Just follow my lead
Step one : Chukua smart phone yako kisha angalia ina asilimia ngapi.
1. Kama asilimia ni kubwa kuliko umri wako basi utakufa pindi umri wako utakapo kuwa sawa sawa na asilimia hiyo.
Mfano una miaka 30 halafu simu yako ina asilimia 36 basi utakufa ukiwa na miaka 36.
2. Kama asilimia ni ndogo kuliko umri wako mfano wewe una miaka 30 na simu yako ina asilimia 25 basi chukua 30 toa hiyo 25 jibu utakalo pata ndio miaka uliyo bakiza. Kwa hiyo hapo umebakiza miaka mitano ya kuishi.
Jitahidi kutenda mema kwa sababu haujui utakufa lini.
Anyways based on this thread please comment miaka uliyo bakiza kuishi.
Mungu akamwambia Mussa ' Nitakufanya kuwa Mungu wa Farao" . I am.Moses and ur Pharaoh. I am ur god. Thats why u blv in everything that come out of me.Crappy
Mimi kichaa tena?Ktk utawala huu vichaa wataongezeka sana, hata wewe tayari ni kichaa
Usifananishe bangi na vitu vya hovyo.uyu atakuwa kanywa mataptapuhizooo.pombe mkuu sio bangiiii......
Bangi ni nzuri mnooooo....mkuu
Good LoordMungu akamwambia Mussa ' Nitakufanya kuwa Mungu wa Farao" . I am.Moses and ur Pharaoh. I am ur god. Thats why u blv in everything that come out of me.
Me i was just playing and u have took it serious!!! U must be sick.
U should worship the ground am walking
Ungekuwa sawasawa kichwani ungepaswa kufahamu kwamba this was just a joke.
Umejiona sasa ulivyo kilaza?
nahisi jamiiforum itakua watu wenye nyuzi nyingi huenda wakawa wanapata mgao wa maokoto,,maana nmeshuhudia watu weng wanaandika nyuzi hazina mbel wala nyuma lakin ilimradi tu aandike ,,,kwani hivi wakuu mtu akitupia mada mara kwa mara humu jamii forum je kuna malipo hua anapata???Unataka kujua utakufa mwaka gani?
Unataka kujua umebakiza miaka mingapi kufa?
Huhitaji kwenda kwa babu. Unaweza kujua yote hayo kwa kutumia smart phone yako.
Unataka kujua inavyo kuwa? Just follow my lead
Step one : Chukua smart phone yako kisha angalia ina asilimia ngapi.
1. Kama asilimia ni kubwa kuliko umri wako basi utakufa pindi umri wako utakapo kuwa sawa sawa na asilimia hiyo.
Mfano una miaka 30 halafu simu yako ina asilimia 36 basi utakufa ukiwa na miaka 36.
2. Kama asilimia ni ndogo kuliko umri wako mfano wewe una miaka 30 na simu yako ina asilimia 25 basi chukua 30 toa hiyo 25 jibu utakalo pata ndio miaka uliyo bakiza. Kwa hiyo hapo umebakiza miaka mitano ya kuishi.
Jitahidi kutenda mema kwa sababu haujui utakufa lini.
Anyways based on this thread please comment miaka uliyo bakiza kuishi.
Simu ina asilimia 1, na nna miaka 37Unataka kujua utakufa mwaka gani?

Taktaka tupu tuondolee wewe ni junun funun aka SamiaUnataka kujua utakufa mwaka gani?