Jinsi ya kutafuta.

Jinsi ya kutafuta.

"fresh from school" una maana from primary school, secondary school or what?
 
Kama wewe ni mtoto wa mkulima kama mimi (huna jina kubwa na hufahamiki, ni mwananaume, huna mshiko) fanya yafuatayo:
1.Soma magazeti hasa Dailynews,the Gurdian
2.Mtandao (kuna blog zinazotangaza kazi)
3.Kama ukifanya Field, fuatilia hiyo sehemu uliyofanyia Field kwa ukaribu
4.Using'ang'anie kukaa DSM, kubali kwenda interior.....
5.Hakikisha una CV yako na application letter electronically....inapotokea kazi wewe una'edit' tu....pata ushauri toka walio senior wako jinsi ya kuandaa CV na barua ya kuomba kazi!
6.Unaweza kutafuta sehemu ya kufanya kazi kwa kujitolea na ukajitolea kufanya kazi bila kuwa na ajira ya kudumu (kama watakukubali) mpaka hapo watakapokupa ajira.
7.Funga na kuomba sana na usikate tamaa
8 Uwe nadhifu
9. Fahamiana na jichanganye na watu ili upate habari zinazohusu nafasi ya kazi yako, kazi nyingi hazitangazwi, na hata zikitangazwa tayari zina mtu.... zinatoka kwa kujuana.
10Fikiria kujiajiri pia (Usijidharau)
11...........
12...........
13...........
 
Jamani naomba mnipe binu ya jinsi ya kutafuta kazi kwa mtu ambaye ni fresh from school.

Unaweza kutembelea baadhi ya ofisi physically ukijifanya unazuga2 na kuuliza kama wametoa nafasi za kazi!
Ila inabidi uwe mvumilivu unaweza ukapata jibu huko likakausha ugali wako tumboni!!

Kumbuka tu kwamba tutafuta kazi ni ngumu kuliko tutafuta sifa za kuajiriwa !!!!!
 
sijui kama itakuwa mbaya kama ungeweka na course ulosoma maana kama ulivyockia kaz nyingi huwa hazitangazwi. If not bad ufunguke
 
Back
Top Bottom