Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Aliyeanzisha thread kachemsha tuliojifunza ni wengine.
Asante madam kunifundisha haya mambo
Abeeeeeee
Mambo?
Kama hivi yaani Cookie Smokey
Na wewe ulikuwa huwezi? Acha hizo, halafu huyu mtoa mada Olivia Pope kapotelea wapi?Kama hivi yaani Cookie Smokey
[emoji41]Je na jinsi ya kuweka picha kwenye comment yako unafanyaje wakuu
Nilikuwa najifunza kutag, id yako ikaja faster kichwani.Abeeeeeee
Angalia usije vunja mguu tu babydarlUkiitwa na sweetie unaitika faster