Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Una miaka mingapiMoods ,WanaJF samahanini sijapeleka habari hii kwenye forum ya Magari/Garaje.
Kumekuwepo na tabia ya wauzaji wa magari hasa madalali kudanganya wateja kwamba gari haijarudiwa rangi. Ili wauze gari fasta.
Naomba kujua namna ya kutambua gari iliyorudiwa rangi ili niweze kupata uelewa,maana juzi tu nimenunua gari kwa mtu.pia itanisaidia kwa baadae.asanteni
siyo usela wala nini ku comment hivyo wakati mtu kauliza kistaarabuUngeuliza kabla ya kununua tungekupa ushauri, kwa sasa pambana na hali yako.
Mtu ameshanunua unampa ushauri gani?siyo usela wala nini ku comment hivyo wakati mtu kauliza kistaarabu
Miaka? Hivi ukiwa na miaka michache au mingi ndo unaweza gundua kama gari imerudiwa rangi?
Anaweza pia angalia sehemu zenye ncha mfano unapoishia mlango lazima atauona mkorogo. Ubaya wa rangi ya kurudiwa haiendani na rangi halisi ya gari na ikikaa muda flani hivi inatengeneza mikwaruzo utafikiri punda milia hapo ndipo utakapokua unaingia gharama ya kurudia rudia rangi ili kuondoa mikwaruzo hiyo wenyewe utasikia wanaenda ipiga mkono mmoja.kuna njia nyingi, waweza chukua msimari au kitu chochote chenye ncha then kwaruza kidogo hyo gari na ukiona inabaki weupe basi hapo ujue ilirudiwa rangi kwa maana ilipigaa puti!
- zunguka gari yote utaona kuna kupishana kung'aa kwa maana mafundi wengi hawana consistency
ushauri;
Gari kurudiwa rangi sio dhambi, cha umuhimu iwe imepigwa tu vzuri, uzuri wa gari ni engine kwa maana waweza kukuta gari haijarudiwa rangi lakini engine ni kimeo alafu nyingine imerudiwa rangi lakini engine mkataba!
Sent using Jamii Forums mobile app