Jinsi ya kutambua gari iliyorudiwa rangi

Jinsi ya kutambua gari iliyorudiwa rangi

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
WanaJF samahanini,

Kumekuwepo na tabia ya wauzaji wa magari hasa madalali kudanganya wateja kwamba gari haijarudiwa rangi. Ili wauze gari fasta.

Naomba kujua namna ya kutambua gari iliyorudiwa rangi ili niweze kupata uelewa, maana juzi tu nimenunua gari kwa mtu pia itanisaidia kwa baadae.

Ahsanteni
 
Moods ,WanaJF samahanini sijapeleka habari hii kwenye forum ya Magari/Garaje.

Kumekuwepo na tabia ya wauzaji wa magari hasa madalali kudanganya wateja kwamba gari haijarudiwa rangi. Ili wauze gari fasta.

Naomba kujua namna ya kutambua gari iliyorudiwa rangi ili niweze kupata uelewa,maana juzi tu nimenunua gari kwa mtu.pia itanisaidia kwa baadae.asanteni
Una miaka mingapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo sioni Kama ni mbaya, Kama hiyo rangi imepigwa vizuri hamna shida,

Njia ni nyingi sana, za kienyeji na za kizungu.....
 
Unataka kujua utakapouza hiyo gari uliyonunua ambayo imerudiwa rangi ujue uingie na swaga ipi.

Ila pole mkuu, inauma sana kujua kwamba ulidanganywa baada ya kufanya maamuzi makubwa
 
kuna njia nyingi, waweza chukua msimari au kitu chochote chenye ncha then kwaruza kidogo hyo gari na ukiona inabaki weupe basi hapo ujue ilirudiwa rangi kwa maana ilipigaa puti!
- zunguka gari yote utaona kuna kupishana kung'aa kwa maana mafundi wengi hawana consistency
ushauri;
Gari kurudiwa rangi sio dhambi, cha umuhimu iwe imepigwa tu vzuri, uzuri wa gari ni engine kwa maana waweza kukuta gari haijarudiwa rangi lakini engine ni kimeo alafu nyingine imerudiwa rangi lakini engine mkataba!

Anaweza pia angalia sehemu zenye ncha mfano unapoishia mlango lazima atauona mkorogo. Ubaya wa rangi ya kurudiwa haiendani na rangi halisi ya gari na ikikaa muda flani hivi inatengeneza mikwaruzo utafikiri punda milia hapo ndipo utakapokua unaingia gharama ya kurudia rudia rangi ili kuondoa mikwaruzo hiyo wenyewe utasikia wanaenda ipiga mkono mmoja.
 
Back
Top Bottom