Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
WanaJF samahanini,
Kumekuwepo na tabia ya wauzaji wa magari hasa madalali kudanganya wateja kwamba gari haijarudiwa rangi. Ili wauze gari fasta.
Naomba kujua namna ya kutambua gari iliyorudiwa rangi ili niweze kupata uelewa, maana juzi tu nimenunua gari kwa mtu pia itanisaidia kwa baadae.
Ahsanteni