Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu fanya kwanza ku google ujue simu zote za Iphone vioo vyake nani anawatengenezea?Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
🫂Unataka kuniFULLaisha?
🤣🤣🤣🤣Kwahiyo sisi wa Samsung tunatumia simu fake
kwaWakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
KwaWakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
Kwa ufupi ili bandiko linayuambia indirect simu ni iphone tu 😁😂😂😂Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
Nawaza kuwakemea na kuwatukana wanaume unaofungamana nao kijiografia kwa sababu ya uzembe wao.Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
Point of correction madam 😂kuanzia ip 14 copy zko advanced sana kma ni ✅icloud zina support nazoWakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
Mashangazi nasikia mmeshindwa vibaya mno vita yenu na vitoto vya afu mbili.Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
Siyo kweli kwa maana siyo kipimo sahihi cha kuangalia simu fekiWakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
Yeye mwenyewe feki, (all are not working methods)Kichwa cha uzi wako kingekua, " namna rahisi ya kutambua Iphone Original na fake"