ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Walikuwepo kama wewe na wakapotea wakaja wakapotea.ni suala la muda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani utopolo ni nini?Zote ulizoweka ni utopolo, hakuna njia ya kitaalam hata moja.
Ni vyema majukwaa mengine tukiwaachia wataalam wenyewe .
Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
Sio kwa ubaya ila hizi clue za kifamba sanaWakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
JPM alisambalatisha huu upuuzi wa simu feki ndani ya siku chache tu ..ila huyu kahaba mjalana mpumbavu katurudisha tena zama zile zile za simu feki na madawa ya kulevya .Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi
1. Angalia unapoiwasha kama inaweka logo ya apple au neno iphone. Ukiona inaweka logo nyingine yoyote kama samsung, tecno sijui oppo au infinix ujue ni feki itupe haraka.
2. Angalia oparating system yako kama ni iOS. Ukiona inasema ni Android ujue ni fake ivunje haraka kabla haijakulipukia
3. Jaribu kuisync na apple iphone earpods, ukiona inashindwa kuconnect na earpods lakin inakubali earphone zingine za kichina ujue na yenyewe ni ya kichina na fake. Tumbukiza chooni.
4. Angalia nyuma ya cover kama imeandikwa redmi, itel, tecno, samsung, infinix au neno lolote tofauti na iphone ujue ni fake. Tupa kwenye flyover za ubungo idakwe na kunguru.
Kwa ufupi hizo ni clues chache za kutambua simu fake
Biashara huriaJPM alisambalatisha huu upuuzi wa simu feki ndani ya siku chache tu ..ila huyu kahaba mjalana mpumbavu katurudisha tena zama zile zile za simu feki na madawa ya kulevya .
Waambie mods wakurekebishie Title isomeke "Jinsi ya kutambua iphone feki".Najua wengi mnatumia SIMU FAKE ndio maana mnashindwa kukubali kwamba simu zenu ni Fake P