Jinsi ya Kutengeneza Connection za Kibiashara

Ni products gani hizo?
 
Mchango mzuri sana.Asante Nafikiri kunakitu tunajifunza kwa kupeana maoni
 
Simply best analysis lakini nashangaa Uzi hauna enough engagement.
Huo ndio utaratibu na staili ya humu JF siku hizi, Mabandiko serious na yenye kufundisha huwa hayachangiwi sana siku hizi na hii ni kwa sababu wana JF wengi siku hizi siyo SERIOUS, wengi wetu tunataka mambo simple simple na umbea tu! Na wakati mwingine tunachangia sana mambo ya kisiasa KISHABIKI TU lakini on serious and educating issues kama hii - HAMNA KITU.
 
Uzi Mzuri..

Tujitahidi kuwa na Watu wenye tija ktk mzunguko wetu, Vijana wengi watu tulionao karibu (Connection) ni za kwenda Kulewa na kufanya Umalaya.
 
Mkuu shukrani sana, nimejifunza kitu, ni kweli kuna wakati tunatengeneza useless connections kwa kutokujua tunataka nini, but thanks for the reminder Mkuu. Ubarikiwe, pia kama kuna connection yoyote ya kazi yoyote usisite kunijulisha , natafuta kazi, yoyoye ile, unaweza pitia posted thread yangu usome andiko langu zaidi.
 
Ndg naomba nicheck 0766111212 nina mambo muhimu naamini katiyetu kila mmojawapo anaweza kumfaa mwenzake, nina kakiwanda nazalisha bidhaa za finishing kwenye ujenzi.

Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
 
Sijaelewa sijui lugha uliyotumia,😥
 
Naomba connection za wateja wa Website, Network installation, Software development na huduma za IT. Mawasiliano 0629266460
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…