Jinsi ya kutengeneza hair removal wax nyumbani

Naona wadada wanalalamika kwan inauma kuliko kutolewa Damu ya Bikra???
Hii kitu inauma mkuu asikwambie mtu. kuna siku kuna mdada alikuwa anafanyiwa hii huku naangalia yaani alipopakwa na kuwekewa kitambaa, kitambaa kilipovutwa mpaka damu zilitoka kwenye vishimo vya vinyweleo. Mimi ndo nilikuwa nasubiri kwenye zamu nikasimama na kuondoka maana niliogopa kuona ile damu
 
Uzuri wa hii ni kwamba ukishafanya unaweza kukaa hata miezi mitatu bila kushave maana nywele zinachukua muda sana kuota ndio maana tunaipenda halafu ngozi haipati vipele wala ule weusi wa makwapani
 
Pole miss Zomboko Mimi mwenywe natumia Gillete na After shave tuu aisee ila ntaenda parlour mojawapo Ku shave kwa wax nijue ikoje duh
 
Hahahah polee mamii,hio saloon tu kwa kweli, dk 10 nyingi mmemaliza
Nilifanyia saloon, ila sikurudia tenaaa.
Sasa nawaza kujifanyia mwenyewe si ndio balaa, hapana jamani.
 
Nilifanyia saloon, ila sikurudia tenaaa.
Sasa nawaza kujifanyia mwenyewe si ndio balaa, hapana jamani.
Mwanzoni inauma sana badae yanapungua so jipe moyo utazoea tu mana inatunza sana ngozi..Shaver na viwembe ni majanga
 
Mhhh hadi damu hao basi wax ilikuwa ya moto sanaa..ama ana tatizo la ngozi,
 
Hiyo haifai tahadhari kibao
 
Shaving cream nzuri ni zipi?
 
Kwenye hizi saloon zetu wanafanya hii mambo,maeneo kama ya Arusha nimependa hayo maelezo yako nataka ndevu niwe natoa kwa style hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…