Joyce_2
Member
- Mar 28, 2020
- 90
- 79
Duh hyo atakuwa sio mtaalam wa hyo kazi, wax nauma siku ya kwanza unavyoanza kutoa maana ngozi inakuwa haijazoea ila ukifanya mara 2 mpka 3 inakuwa kawaida na maumivi yanakuwa ya kawaida yakuvumilikaHii kitu inauma mkuu asikwambie mtu. kuna siku kuna mdada alikuwa anafanyiwa hii huku naangalia yaani alipopakwa na kuwekewa kitambaa, kitambaa kilipovutwa mpaka damu zilitoka kwenye vishimo vya vinyweleo. Mimi ndo nilikuwa nasubiri kwenye zamu nikasimama na kuondoka maana niliogopa kuona ile damu