Hii kitu inauma mkuu asikwambie mtu. kuna siku kuna mdada alikuwa anafanyiwa hii huku naangalia yaani alipopakwa na kuwekewa kitambaa, kitambaa kilipovutwa mpaka damu zilitoka kwenye vishimo vya vinyweleo. Mimi ndo nilikuwa nasubiri kwenye zamu nikasimama na kuondoka maana niliogopa kuona ile damu