Jinsi ya kutengeneza kinywaji cha lemonade mocktail (mojito) nyumbani

Jinsi ya kutengeneza kinywaji cha lemonade mocktail (mojito) nyumbani

Ni kinywaji mkuu Tena kinapendwa sana
MOJITO ni kwa wachache Sana..
NA pia Hata MOCKTAIL au COCKTAIL..
Wengi hawazipendi..
Ila kuna watu tunaxhanganya Vinywaji humo Kama Wakemia wakuu..

Dakika Mbili Nyingi unaona Dunia yote yako kwa kutu Tatu tu 😀😀
 
MOJITO ni kwa wachache Sana..
NA pia Hata MOCKTAIL au COCKTAIL..
Wengi hawazipendi..
Ila kuna watu tunaxhanganya Vinywaji humo Kama Wakemia wakuu..

Dakika Mbili Nyingi unaona Dunia yote yako kwa kutu Tatu tu 😀😀
Soda na processed juisi hunywi mkuu
 
imekaa vizuri,lakini nina jambo lakushauli ikiwa utatumia sprite hakuna haja yakuweka tena sukari! ni vyema kujali afya zetu pia kwa kuepuka matumizi mengi ya sukari maana sprite tayari inasukari.

kawaida mocktail hii unaweka soda water au sparkling water (maji yenye gesi),so kama utatumia soda water unaweza kuweka sukari tena sukari yenyewe kwa uharaka zaidi iwe ni sukari iliyokwisha yeyuka yaani simple syrup.

kwa wale walevi sasa unaweza kuweka spirit uitakayo lakini hii cocktail (ikiwa na kilevi ndo inaitwa cocktail), original yake huwa inawekwa white rum na ikiwa na kilevi inaitwa moito/mojito.. aliyoitambulisha mweka mada ni virgin moito/mojito kwa maana haina kilevi.
moja kati ya cocktail ambayo inapendwa sana na waitaliano.
 
Sukari kijiko kimoja sio lazima unaweza usiweke kama hupendi sukari au ukaweka kidogo
Soda nyeupe(sprite)
Yaani unachanganya sukari na soda, Prof. Janabi akisoma huu uzi atakutajia aina ya magonjwa 100 unayoweza kuyapata

Prof.-Mohamed-Y.-Janabi_300_300shar-50brig-20_c1.jpg
 
Back
Top Bottom