imekaa vizuri,lakini nina jambo lakushauli ikiwa utatumia sprite hakuna haja yakuweka tena sukari! ni vyema kujali afya zetu pia kwa kuepuka matumizi mengi ya sukari maana sprite tayari inasukari.
kawaida mocktail hii unaweka soda water au sparkling water (maji yenye gesi),so kama utatumia soda water unaweza kuweka sukari tena sukari yenyewe kwa uharaka zaidi iwe ni sukari iliyokwisha yeyuka yaani simple syrup.
kwa wale walevi sasa unaweza kuweka spirit uitakayo lakini hii cocktail (ikiwa na kilevi ndo inaitwa cocktail), original yake huwa inawekwa white rum na ikiwa na kilevi inaitwa moito/mojito.. aliyoitambulisha mweka mada ni virgin moito/mojito kwa maana haina kilevi.
moja kati ya cocktail ambayo inapendwa sana na waitaliano.