Hujanijibu 😂😂Wii 🤣🤣🤣
Nimeweka sukari sabbu mambo ya nyumbni sio wote wanaweza PATA sugar syrup ila pia nimeabdika sio lazima au unaweza tunika kidogo kupunguza uchachu wa ndimuimekaa vizuri,lakini nina jambo lakushauli ikiwa utatumia sprite hakuna haja yakuweka tena sukari! ni vyema kujali afya zetu pia kwa kuepuka matumizi mengi ya sukari maana sprite tayari inasukari.
kawaida mocktail hii unaweka soda water au sparkling water (maji yenye gesi),so kama utatumia soda water unaweza kuweka sukari tena sukari yenyewe kwa uharaka zaidi iwe ni sukari iliyokwisha yeyuka yaani simple syrup.
kwa wale walevi sasa unaweza kuweka spirit uitakayo lakini hii cocktail (ikiwa na kilevi ndo inaitwa cocktail), original yake huwa inawekwa white rum na ikiwa na kilevi inaitwa moito/mojito.. aliyoitambulisha mweka mada ni virgin moito/mojito kwa maana haina kilevi.
moja kati ya cocktail ambayo inapendwa sana na waitaliano.
Ina raha yake aisee🤣🤣🤣🤣ila nyie
Njoo unirekebishie basi..🥺Hapana ni rahis mno jaribu
sugar syrup ni rahisi tu unatengeneza we mwenyewe unayeyusha sukari kwa maji moto kikubwa isiwe nyepesi sana hivyo tu..Nimeweka sukari sabbu mambo ya nyumbni sio wote wanaweza PATA sugar syrup ila pia nimeabdika sio lazima au unaweza tunika kidogo kupunguza uchachu wa ndimu
Asante sana mkuu upo vizuri sana
AiseePole sana 😂😂😂🙌 next time ukilewa usishike simu. Utakuja kuahidi watu mamilioni ujue!
Sijawahi kulewa. Hahaa nakunywaga km sinywi afu kumbe ndo nakunywa. So sjui mtu akilewa sana anakuwaje kuwaje anavyojisikia.
Basi nawewe yakupasa kusubiri mpaka atakapofika. Acha kiherehere🤣🤣Roho mtakatifu atachelewa kuja
🤣🤣🤣 Chap lete recipe hiyoHaiongezi for case of libido nitakuletea recipe 😀😀😀
Ulipotea? OkAmeniona,aka like Kisha akapita kimya kimya.
Sijui kwa Nini hajatoa comment yoyote kwa kurudi kwangu JF baada ya kupotea mwaka mzima. Kimya chaje kinaniogopesha sana mrembo.
Next weekend naomba unitengenezee hiki kinywaji.
Ok yanaitwa ivo ivo mnanaaKama upo dar sokoni yanapatikani mengi sana na Bei ni ya kawaida sana
Aletee🤣🤣🤣 Chap lete recipe hiyo
Nawe unataka??Aletee
Nawe unataka??