Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Unashindwa kwa sababu hauna partner au kuna kingine?
Hivi vichomi huwa vinatokana na nini?mie huwa vinankata sana stimu napokuwa kwenye mazoezi hasa maeneo ya chini ya mbavu za kulia[emoji22]
 
Hivi vichomi huwa vinatokana na nini?mie huwa vinankata sana stimu napokuwa kwenye mazoezi hasa maeneo ya chini ya mbavu za kulia[emoji22]
Kuishiwa pumzi halafu kuendelea kupiga tizi.
Kunywa maji mengi mno muda mdogo kabla hujaanza zoezi lako.
 
Hiko nilichoandik ndiyo hupelekea kichomi.

Badala yake jaribu kunywa kidogo kidogo
Nashukuru sana tiba ya maji imeniondolea kabisa lile tatizo![emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…