Ni poa hii work out.aiseeh hapa nlipo mwili wote umechoka,,, leo nlienda hivi
1, push up - round 5, kila round 1 push up 20
2, trycept - round 5, kila round try 20
3, sqwashi - round 5, kila skwash round 20
4, kukata tumbo - round 5, kila round nimeenda 20,
vp hiyo mkuu [emoji23] kwa ujumla nimetumia kama dakika 45 kufinish
ok mkuuNi poa hii work out.
Push ups itafocus kifua na triceps.
Triceps umefocus kwenye mkono.
Squats miguu.
Yaani umepiga zoezi limelenga kila sehemu ya mwili.
Kudos
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu huenda unajioverdozz,, ila mvumilivu hula mbivu,,, baada mwezi nadhan utakuwa poaKwann kila nikifanya hizo zoezi zako kesho yake nashindwa hata kujikuna mgongoni...?
Mkuu hapana aisee labda mm sikuumbwa kufanya zoezi. Kila nikifanya basi kesho yake kiuno mgongo na mapaja havina kazi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu huenda unajioverdozz,, ila mvumilivu hula mbivu,,, baada mwezi nadhan utakuwa poa
Sijawahi kufanya. Hua nafata hayo maelekezo yako nikifanya sasa nauuumia kesho yake hadi nakua kama naumwaZoezi hili tu au yote niliyowahi kuyaandikia?
Umewahi kufanya mazoezi kabla ya kuamua kuyafanya haya?
Katika kila uzi nilikua naonyesha beginner aanzeje, ajipe mapumziko kati ya zoezi moja na jingine kwa muda gani na nilionyesha mazoezi ambayo beginner anaweza kuanza nayo kabla hajajumuisha mazoezi yote.Sijawahi kufanya. Hua nafata hayo maelekezo yako nikifanya sasa nauuumia kesho yake hadi nakua kama naumwa
zile stimu nadhani kuonesha umegain vitu flani vipyaMkuu hapana aisee labda mm sikuumbwa kufanya zoezi. Kila nikifanya basi kesho yake kiuno mgongo na mapaja havina kazi.
Kama hivyo fanya ule huku unaendelea na mazoezi.
Itachukua wiki 6
Uzi ni wa muda huu kama nakumbuka vizuri katikati kuna watu walitoa feedback.January naingia gym kabisa ntaleta mrejesho..
Ila kwenye huu uzi sijaona watu wakileta mrejesho naona porojo porojo tu
Mkuu unaweza kutusaidia vyakula/ fomula ya kula kwa mtu anayefanya mazoezi ya kujenga mwili ikiwemo kuwa na sic pack, maana kukata tumbo kunasumbua wakati usiku nao njaa inasumbua, sasa hii inaleta changamoto kidogo.Itachukua wiki 6
Sina formula, nilikua nakula kawaida tu kwa kuzingatia protin, wanga etc.Mkuu unaweza kutusaidia vyakula/ fomula ya kula kwa mtu anayefanya mazoezi ya kujenga mwili ikiwemo kuwa na sic pack, maana kukata tumbo kunasumbua wakati usiku nao njaa inasumbua, sasa hii inaleta changamoto kidogo.