Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Wiki tu naona matokeo makubwa sana mwendo umebadilika hata siogop kutembea usiku tena
Ahsante kwa mrejesho mkuu, ila angalia sana sehemu za Tandale, Mabibo na Manzese vibaka wa kule wanacheza boxing
 
Wiki tu naona matokeo makubwa sana mwendo umebadilika hata siogop kutembea usiku tena
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] buds kwanini uogope wakat una siraha mkononi punch moja atajuta kuishi sio kuzaliwa tena
 
20 20 nyingi sana, tupunguziepo bas
Mkuu nimeonesha kwa anayeanza ni namna gani ajipangie mazoezi. Baadaye atapiga tu 20 kama anakunywa chai ya maziwa.
 
Asante kwa uzi mzuri,binafsi nimeanza,mazoezi kama cku 5 zimepita ila baada ya kusoma huu uzi nimepata vitu vingi vipya na muhmu.
Ubarikiwe
 
Asante kwa uzi mzuri,binafsi nimeanza,mazoezi kama cku 5 zimepita ila baada ya kusoma huu uzi nimepata vitu vingi vipya na muhmu.
Ubarikiwe
Unaingia gym mkuu?
 
Sa braza izo ni push 120 ni nyiiingi saaana kwa mtu ambaye sio wa mazoez au begginer....

Andaa article vizuri ilenge jamii yoote.. sio ujiangalie wewe tu... unasems kupumzika sekunde 10.

Pus up ishirin huwa ni dakika 1 hadi 2.....

Kwa iyo unataka dk 10 nipige push up 120.....

Mzima wewe.
 
Mimi mzima (kivyote, afya ya akili na mwili).

Chief ukisoma had mwisho, kwenye NB nimeonesha ambaye anaanza nini afanye push ups gani apige zipi aziache kwa muda.

Nimependekeza muda wa kupumzika kwa beginner pia.

Cheki vizuri mpaka mwisho.

PS. Hapa ni push ups 20 kwa sekunde 20, siyo push ups 20 kwa dakika moja.
 
Je ni vizuri kuoga mara tu baada ya push ups au napaswa kukaa muda fulani?
 
Back
Top Bottom