GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
- Thread starter
- #21
Na kwa hakika nasaidia watu wengi.Ukitaka kufanikiwa zaidi katika maisha jaribu kusaidia watu kutimiza malengo yao. Mfano mzuri AMAZON, FACEBOOK, JF, ALL SOCIAL MEDIA. ATA MM nipo kwenye changamoto ya kutafuta kitu ambacho kitasaidia watu watimize malengo yao. Embu anza kufiria kwanzia hapo namna ya kuwasaidia watz kutimiza malengo yao. Ukiweza ilo umejiweka sehem nzuri katika maisha.
Hii haina shaka.
Mkuu hapa nimejibu zaidi ya emails 23 na private messages.
And I do this for free.
Nafahamu ili nifanikiwe lazima nisaidie watu kuongeza value kwenye maisha yao ya kila siku.
Na ndiyo ninachokifanya hapa.
Nauhakika kupitia uzi huu wapo watakaoenda mbele na kujifunza na kufanikiwa.
Pia nafahamu wapo watakao sita na kuamua kubaki walipo bila kupiga hatua kujifunza kutengeneza $ online.
See?
I have my opinion but I can't tell people what to think.