Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bro umeongea point!!. Mtu kama anasema anaingiaza thousands dollars na amefanikiwa kupitia platform flani afu still kutoa ujuzi kuhusu hiyo platform anataka kuingiza hela ndefu nakuwa simuelewagi. Hawa hapa bongo wapo wengi. Hizi introduction za hizi platform tunazijua kupitiabtu google kama kweli anatak kushare ujuzi funguka tu hapa hapa share na CV zako za kwely tuzione af funguka point muhimu zinazoelewek sio kuzungushana.Uwezi kumfundisha mtu kama hajajua uwezo wako kufanya online business au namna ya kuingiza pesa online. Hapa ndipo watu wengi wanaonekana scam. Kama forex ilivyo ingiliwa na sasa imeshakuwa biashara ya matapeli. Ni kazi sana kupata pesa kwa kuwafundisha watu ambao hawajui uzoefu wako wa online business. Watz wengi sio wa kweli, ni wazuri kuongea lakin utelezaji wa maneno yao ni SUFURIA. Na wengi wanaingia kwenye mtego huu kwasababu wana njaa na pesa. Nilikwisha sema kipind kile cha ontario kwamba hizi BLUE wanazopost JF ni kuwatamanisha watu waamini Forex ni rahisi na waingie kwenye mtego na ndivyo ilivyokuwa hapo baadae.
Scam nowadays wamekuwa wengi sana, ambao wanatafuta watu kwa nguvu kuwatapeli kwa maneno mazuri ya kuwashawishi. Ukitaka kupata pesa kwa watz kwa sasa, wafundishe basic kwanza na waone wanapata $$ chache kabla hujaanza kuwa charge pesa. Ni rahis sana watz kukupa pesa kwa kuwa wameona kwenye baisic, hapa ndipo watu wengi wanaonekana scam kwa kutanguliza pesa mbele. Jaribu kutafuta mtu yoyote ambaye ni pro utaona anavyofanya kwa audience wake before kuanza kulipia huduma mfano mzuri BRIAN TRACY.
Mkuu acha uvivu.bro umeongea point!!. Mtu kama anasema anaingiaza thousands dollars na amefanikiwa kupitia platform flani afu still kutoa ujuzi kuhusu hiyo platform anataka kuingiza hela ndefu nakuwa simuelewagi. Hawa hapa bongo wapo wengi. Hizi introduction za hizi platform tunazijua kupitiabtu google kama kweli anatak kushare ujuzi funguka tu hapa hapa share na CV zako za kwely tuzione af funguka point muhimu zinazoelewek sio kuzungushana.
mekuelewa mkuuMkuu acha uvivu.
No one will teach you "life hacks" for free.
Kumbuka watu wamewekeza muda kujifunza kwahiyo hayo maelezo yaliyotolewa yanatosha kabisa. Iwapo unataka kujifunza zaidi I advice ujifunze chini ya mentorship au ujifunze mwenyewe
Ok boss.mekuelewa mkuu
Nahisi umeni quote bahati mbayaMh mbona mnasound km mleta mada?
Au ndyo mipango ya utapeli kwa kutumia multiple id?
Huyo mtoa mada alishasema tujifunze kuandika ndo maana nimeandika kama yeye,cha pili kama angejibu hayo maswali yangu niliyomuuliza hapo juu angekuwa kanisaidia sana kufanikiwa katika biashara ya affiliate marketing kwa sababu nilifungua acc jvzoo nianze affiliate marketing ila mpaka sasa sijauza bidhaa hata moja.ila mm ni blogger na shughuli zangu muda wote ni blogging ukipitia replies zangu nyingi hapo nyuma niliongelea kuhusu bloging,tafadhali sana chief usije kunihusisha na hizo id mm sio mmoja wao.Mh mbona mnasound km mleta mada?
Au ndyo mipango ya utapeli kwa kutumia multiple id?
Si busara kusema mtu ni tapeli ikiwa haujatapeliwa na huna uhakika hii ni kazi ya mtuhizi id zote ni za mtu mmoja anataka kutapeli watu
Kuweni makini!
Unakosea sana. Mimi ni msomaji kama walivyo wengine.hizi id zote ni za mtu mmoja anataka kutapeli watu
Kuweni makini!
Unakosea sana. Mimi ni msomaji kama walivyo wengine.hizi id zote ni za mtu mmoja anataka kutapeli watu
Kuweni makini!
Nimeshangaa sana. Hana busara mwache tuSi busara kusema mtu ni tapeli ikiwa haujatapeliwa na huna uhakika hii ni kazi ya mtu
Cheki direct pay online website yaoUmeipata wapi mkuu ..hii kituo naihitaji sana!
Ok thanksCheki direct pay online website yao
Habari yako Mkuu..........hizi id zote ni za mtu mmoja anataka kutapeli watu
Kuweni makini!
Yap kuna post km tatu nimezi qoute bahati mbayaH
Habari yako Mkuu..........
Naona umeniquote kwa bahati mbaya.
Japo na mimi ninawasiwasi na hizo ID zingine kwamba ni za mtu mmoja.
Uwezi kumfundisha mtu kama hajajua uwezo wako kufanya online business au namna ya kuingiza pesa online. Hapa ndipo watu wengi wanaonekana scam. Kama forex ilivyo ingiliwa na sasa imeshakuwa biashara ya matapeli. Ni kazi sana kupata pesa kwa kuwafundisha watu ambao hawajui uzoefu wako wa online business. Watz wengi sio wa kweli, ni wazuri kuongea lakin utelezaji wa maneno yao ni SUFURIA. Na wengi wanaingia kwenye mtego huu kwasababu wana njaa na pesa. Nilikwisha sema kipind kile cha ontario kwamba hizi BLUE wanazopost JF ni kuwatamanisha watu waamini Forex ni rahisi na waingie kwenye mtego na ndivyo ilivyokuwa hapo baadae.
Scam nowadays wamekuwa wengi sana, ambao wanatafuta watu kwa nguvu kuwatapeli kwa maneno mazuri ya kuwashawishi. Ukitaka kupata pesa kwa watz kwa sasa, wafundishe basic kwanza na waone wanapata $$ chache kabla hujaanza kuwa charge pesa. Ni rahis sana watz kukupa pesa kwa kuwa wameona kwenye baisic, hapa ndipo watu wengi wanaonekana scam kwa kutanguliza pesa mbele. Jaribu kutafuta mtu yoyote ambaye ni pro utaona anavyofanya kwa audience wake before kuanza kulipia huduma mfano mzuri BRIAN TRACY.