Jinsi ya kutengeneza website(tovuti) bure ya kiofisi (acha kulipia leo)

thanx sana chief mkwawa kwa elimu yako
 
Umelitendea haki hilo jina mkuu kweli unahitaji pongezi......Shukrani sana kwa darasa la manufaa ya kimaisha. Yaan sijutii kutumia jamii form
 
Mkuu shukrani kwa somo zuri. . . Keep it up
Mungu akuzidishie maarifa.
 
Nashukuru kwa somo zuri ntalifatilia hii kitu kwa ukaribu
 
 
Chief mbna hujaweka namba tutakupataje. Au ikiwezekana naomba namba zko
 
kuna mtu kaona mwenzie katoa somo free anaanza kumkosoa,,,,,,mkuu chief mkwawa big up hata kama kunamalipo siwez kujali kwa sababu hata kuanza nilikua sijui sasa hiv angalau kuna matumain flan yapo...thanks mkuu
Hivi vitu tunavifurahia kwamba ni kwa bure, Lakini madhara yake ni makubwa, ikiwepo ishu ya security, Maana vitu vinavyoletwa bure huwa vinakuwa na malware wanaopita kwenye extension ya browser yako na kuhack files, nashauri kama tu upo serious na vitu vyako usipende vitu vya bure utakuja kujilaumu.
 
Ahsantee saana chief mkwawa kwa hii post nzurii sasa je kwa hii namna yako naweza kutengeneza website yenye co.tz?? nitashukuru sana kama utanielekezaa
 
Ahsantee saana chief mkwawa kwa hii post nzurii sasa je kwa hii namna yako naweza kutengeneza website yenye co.tz?? nitashukuru sana kama utanielekezaa

website zote hutengenezwa sawa iwe ya .com, .net .co.uk au hata .co.tz

hio .co.tz ni domain, ukishakuwa na hosting na website yako unainunua hio domain kwa mawakala husika na kuipark kwenye hio website, na kama unayo ya .com sasa hivi pia unaweza ukaiita jina jengine la .co.tz

kupata hio domain tembelea link hii

Nahitaji Domain name ya .CO.TZ

bei elekezi isizidi 25,000
 
asante sana kakaa.. Naomba msaada kupata hiyo programu ya Website X5, maana nimeclick hiyo link imenidirect kwenye sehemu ya kununua
 
mkuu naomba utembelee tovuti yangu bp kisha uniambie mapungufu yaliyopo kama utajua jinsi ya kurekebisha uniambie haraka nitakupa fedha ya vocha...najua sina jeuri ya kukulipa...fedha unayoitaka
 
mkuu naomba utembelee tovuti yangu bp kisha uniambie mapungufu yaliyopo kama utajua jinsi ya kurekebisha uniambie haraka nitakupa fedha ya vocha...najua sina jeuri ya kukulipa...fedha unayoitaka
forum ni watumiaji mkuu, ni ngumu sana kuiendesha bila kuwa na watumiaji hasa kama huna site dada kwa ajili ya kufeed hio forum yako.
 
Chief-Mkwawa........ greatest of all time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…