Jinsi ya kutengeneza website(tovuti) bure ya kiofisi (acha kulipia leo)

mkuu....nifanye nini hapo...au utanisaidiaje katika hilo?
kitu cha kwanza mtu atajiuliza kwanini aache forum nyengine kama jf na aje forum yako? una kitu gani kipya ambacho huku hakipatikani? kama utacopy majukwaa ya huku ujue uwezekano wa kufanikiwa ni mdogo,

na chengine unatakiwa uwe na watu wengi, mara nyingi wanaoanzisha forum wanakuwa na website zenye watumiaji wengi kama blog, unakuta blog ina visitors 10,000 kwa siku unapoanzisha forum inakuwa rahisi kukua sababu unakuwa na source ya watu, ukieka links kwenye blog watakuja.
 
Wakuu najifunza html so nimecode web page by using Html nimejaribu ku host via 000webhost.com but inagoma kufunguka.
Page nilizo tengeneza ni ni kama hapo kwenye picha ya juu ina top, left, Main then nimezitengenezea frame but niki upload file zote inatokea hivi:-
Nikijaribu file moja na kulirename "index. html" na kuliupload web inafunguka fresh tu kwenye hiyo page moja.
Wazoefu naombeni msaada katika hili.

Cc:- UncleUber Chief-Mkwawa zech Nyasiro Fadhili Paulo na wengineo.
 
kwanini mkuu usianze na blogspot? halafu hizo code zako unapachika mule mule kwenye blog yako, badala ya kutumie ile editor ya text tupu unatumia ya html.

hilo file ulilo rename kama index.html ndio main page ya site yako? ume upload vipi kwenda kwenye site? kule kwenye file manager ya hosting umedumbukiza wapi mafile yako?
 
Mafile yote nimedumbukiza kwenye folder la public_html.


Blogger nilichezea sana kipindi cha nyuma so why najaribu kuhost kwenye subdomain then huko mbeleni nilipie domain+hosting
 
View attachment 635197
Mafile yote nimedumbukiza kwenye folder la public_html.


Blogger nilichezea sana kipindi cha nyuma so why najaribu kuhost kwenye subdomain then huko mbeleni nilipie domain+hosting
mkuu hilo index.html ndio inatakiwa iwe main site yako, naona kuna index na main, inatakiwa mtu akifungua site yako apelekwe moja kwa moja kwenye index.
 
Mkwawa,mbona hawa websitex5evolution wanauza kwa sasa? napata wapi ya bure?
 
A modern day business without an online strategy is a business destined for failure. You need a website and we know how to put the best possible website together to achieve your goals and score you more customers.

At Computer Springs we are expert in:
Build Customized website editing application which enables customers to make changes to their website directly using a simple online (web based) interface. This allows businesses to maintain their website in real-time using an easy-to-use Admin Console.

Get a free quote now or Visit our website for more competitive packages for web hosting and web designing.
 
ASANTE KWA SOMO ZURI LKN NAOMBA NAMBA ZAKO PINDI NIKIKWAMA UNISAIDIE
 
Mkuu chief mkwawa nimefuata maelezo yako yote kwa usashi kabisa ila kuna mahali nimefiaka palae ninapotak kuview site yangu kwenye website kwa kutumia google chrome ina fail inaniambia fail ila flashpalyer nime enable mkuu naomba msaada asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…