Jinsi ya kutengeneza website(tovuti) bure ya kiofisi (acha kulipia leo)

Kwa hiyo hapo unafanyaje mkuu!?

Unaichukua blog kama ilivyo na kuihost kwa host mwingine tofauti na blogger !?... Kwa mfano hawa yatosha.com web hosting!?
Unanunua tu jina kama ni Namecheap, Godaddy ama kwengineko kisha unalink jina na blog yako sio lazima uhost blog kwengine. Kwenye setting za Blogger kuna sehemu za kupark hio domain
 
Ssa mkuu kwa free hosting ila nimenunua domain siezi kupata website inaitwa banana.com?
 
Mkuu msamiati nataka uje ulete somo siku moja la kutengeza Website kwa kutumia Django..
Na kingine pia ningependa siku moja uje na somo la Backend..maan wengi hapa ni Front end
 
Ssa mkuu kwa free hosting ila nimenunua domain siezi kupata website inaitwa banana.com?
Unaweza kuwa na premium domain na free hosting, sema domain haijirudii, unlikely kupata jina la banana.
 
Unanunua tu jina kama ni Namecheap, Godaddy ama kwengineko kisha unalink jina na blog yako sio lazima uhost blog kwengine. Kwenye setting za Blogger kuna sehemu za kupark hio domain
Asante sana kwa ufafanuzi wa kina mkuu
 
Hivi kama mtu kachukua banana.com siwez kupata banana.co.tz?

.co.tz haipo available ipo banana.tz, banana.or.tz, banana.ne.tz na banana.info

Inategemea na matumizi ya hido domain angalia. Itakayo kufaa
 
Mkuu msamiati nataka uje ulete somo siku moja la kutengeza Website kwa kutumia Django..
Na kingine pia ningependa siku moja uje na somo la Backend..maan wengi hapa ni Front end

Tembeleas post zangu za nyuma tulisha wahi kutoa muongozo wa django na API
 
Hivi kama mtu kachukua banana.com siwez kupata banana.co.tz?
Inawezekana kama nayo haijachukuliwa Kuna .net, org, mobi, us, Africa etc kunakuwa na domain nyingi sema .com ndio zinakuwa na soko zaidi.
 
Mkuu Samahani Hivi ipi Database nzuri ,SQL Nzuri kati ya MySQL au postgreSQL
 
Mkuu Samahani Hivi ipi Database nzuri ,SQL Nzuri kati ya MySQL au postgreSQL
Production tunatumia PostgreSQL, development wengi wanatimia SQLite & MySQL

huwa na prefer PostgreSQL kwenye development kwa sababu django ina pre build library ya advanced PostgreSQL ukititumia Sqlite hauwezu ku access hizo functionality
 
Unaweza vizuri tu!!!Ukinunua domain unapewa Key flani special kama API Key hivi then unaweka kwenye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…