Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kipi sahihi viagra za dukani ama hasili na wengi wao hawana hobies na mazoezi kila kt ni hobby hom boiHiyo kitu n fix tu hakuna kitu hapo. Kama unataka kua fit fanya hivi...
Piga tizi lolote angalau dk 30 halafu malizia na tizi la skwati angalau 150 kwa Siku
Kunywa maji mengi ili uwe na mzunguko mzuri wa damu na mwisho jiamini mapenzi ni starehe si kukomoana maana haiwezekani utaumia wewe.. Nazani tumeelewana au nasema uongo ndugu zangu
Kitambo sana sikuona chochoteuliijaribu
hhahaha bei ya shamba mi nanunua 20Anayetaka malimao. Manne 200.
Kweli lakini Viagra n mbaya sana kipindi flani nilitumia hizo za dukan kuna chalii angu ana duka la pharmacy alinipa aisee nilimpiga demu mmoja shoo hadi akaanza kulia kua anaumia mi nikazani n zile swaga zao kumbe mtu anaumia tukaachana siku hiyohiyo so sio kitu kizuri kabisa halafu inakuua tu coz huwez jiamini bila kuitumiakipi sahihi viagra za dukani ama hasili na wengi wao hawana hobies na mazoezi kila kt ni hobby hom boi
sure za dukani sio mpango bora utumie vitu asiliKweli lakini Viagra n mbaya sana kipindi flani nilitumia hizo za dukan kuna chalii angu ana duka la pharmacy alinipa aisee nilimpiga demu mmoja shoo hadi akaanza kulia kua anaumia mi nikazani n zile swaga zao kumbe mtu anaumia tukaachana siku hiyohiyo so sio kitu kizuri kabisa halafu inakuua tu coz huwez jiamini bila kuitumia
Lete stori braza.Kweli lakini Viagra n mbaya sana kipindi flani nilitumia hizo za dukan kuna chalii angu ana duka la pharmacy alinipa aisee nilimpiga demu mmoja shoo hadi akaanza kulia kua anaumia mi nikazani n zile swaga zao kumbe mtu anaumia tukaachana siku hiyohiyo so sio kitu kizuri kabisa halafu inakuua tu coz huwez jiamini bila kuitumia
Da hata sitaki kukumbuka maana nimelowanisha mashuka ilikua vitaLete stori braza.
Kweli kabisa hata maziwa fresh na unga wa mbegu za parachichi n soo sana unakunywa walau Mara moja kwa wiki wamasai wanaitumia sana hiisure za dukani sio mpango bora utumie vitu asili
kufanya mazoezi.
1. Blueberry
3. Chaza/Kombe wabichi /pweza (Raw Oysters)
4. Karanga
5. Vitunguu saumu
7. Chocolate
6. Ndizi
unaeza dharau vt km ivo ila ndo zitakuweka ktk hali nzuri na matarajio poa
Free basic mbona kwangu saiv inakataa kufungukaNatumia free basics,atakayeona video anitafsirie mimi Mkalimani.
kata tikiti lako robo tatu ama zima kwa kutegemea ukubwa wa tikiti , weka tikiti ulilolikata kwenye (blenda) bila kutoa matetere yake, hakikisha usiongeze kitu cha aina yoyote kama vile sukari na ukishamaliza saga mpaka juisi kutengenezeka.Beetroots na strawberry ni matunda gani mkuu, na hayo uaandaaji wake unakuajkata tikiti lako robo tatu ama zima kwa kutegemea ukubwa wa tikiti , weka tikiti ulilolikata kwenye mashine yako ya kusaga(blenda) bila kutoa matetere yake, hakikisha usiongeze kitu cha aina yoyote kama vile sukari na ukishamaliza saga mpaka juisi kutengenezeka.
Acheni utaniKweli kabisa hata maziwa fresh na unga wa mbegu za parachichi n soo sana unakunywa walau Mara moja kwa wiki wamasai wanaitumia sana hii
Mkuu tuokolee ndoa zetu kongwe kwa kutoa maelezo kidogo.Kweli kabisa hata maziwa fresh na unga wa mbegu za parachichi n soo sana unakunywa walau Mara moja kwa wiki wamasai wanaitumia sana hii
Utani gani wakati huo unga wa lile kokwa la parachichi wamasai wanauuza sana tu unakoroga kijiko kimoja cha chai na maziwa fresh kunywa Mara mbili kwa wiki utakuja kunishukuru badaeAcheni utani
Mkuu ni rahisi kabisa wewe nunua parachichi zako yaan ovakado kula tunda lake then ile mbegu yake ipondeponde namna unavoweza alafu anika ikikauka isage hadi uwe unga halafu utachanganya na maziwa fresh utakua unagonga ukiweza kunywa mfulululizo ni poa zaidi ila ukishindwa basi japo Mara kadhaa kwa wiki utaanza kuona mabadiliko... Ukishindwa kuandaa huo unga nenda kwa wamasai wanao kibao tu.. Coz hivi dawa wanasai wanaitumia sanaMkuu tuokolee ndoa zetu kongwe kwa kutoa maelezo kidogo.
Ubarikiwe sana mkuu.Mkuu ni rahisi kabisa wewe nunua parachichi zako yaan ovakado kula tunda lake then ile mbegu yake ipondeponde namna unavoweza alafu anika ikikauka isage hadi uwe unga halafu utachanganya na maziwa fresh utakua unagonga ukiweza kunywa mfulululizo ni poa zaidi ila ukishindwa basi japo Mara kadhaa kwa wiki utaanza kuona mabadiliko... Ukishindwa kuandaa huo unga nenda kwa wamasai wanao kibao tu.. Coz hivi dawa wanasai wanaitumia sana
Poa baada ya wiki mbili usisahau kuleta mrejeshoUbarikiwe sana mkuu.
Ngoja niingie chimbo haraka sana.
Pamoja mkuu.Poa baada ya wiki mbili usisahau kuleta mrejesho
Mkuu anzisha thread hii stori ni kaliDa hata sitaki kukumbuka maana nimelowanisha mashuka ilikua vita
Hahahhaa Ntaianzishia ngoja kwanza mechi ya Leo ipiteMkuu anzisha thread hii stori ni kali