Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

Uvivu tu kufanya kazi hakuna wa kukuroga wala kukufunga.... fanya tu kazi kwa bidii na saidia wenye shida utatusua
Mzee Akilimali alivua kofia Yanga ikapigwa 5....kesho yake watu wakaipiga ile kofia..Yanga akapoteza mchezo...watu wakairejesha kofia...Yanga akaanza kupata ushindi...connect the dot.
 
Hivi wachawi wanaweza kumloga MTU kama Kikwete,Mkapa,Dr Shein ,Trump,Bakhressa,au Mzee Mengi,vipi kuhusu Diamond Platinum,?
Acha utapeli,acha watu wafanye kazi,hakuna uchawi,hali yoyote inayomkumba binadamu,inaelezeka kisayansi,
Mlogeni Maghufuri,si amesababisha vyuma kukaza
acha utoto!
 
inategemea na aina ya nyekundu kuna red saphire,carnerian,red garnet,citrine,ruby,rubelity,andecine,beads,rhodonight na mengineyo sasa inategemea unaongelea jekundu lipi kati ya hayo

rakims
hizo aina sizijui hebu generelize maana ya red tu kiujumla ikiwa inawezekana.
 
Mkuu nyota ya mbuzi madini gani ya kunikinga ni preferred na ya bahati pia nikipata cost itapendeza zaidi .......my pm is opened
 
hizo aina sizijui hebu generelize maana ya red tu kiujumla ikiwa inawezekana.
Danger/destroyer/evil richness/sex/root chakra/demon/blood suckers etc.

Rakims
 
Mkuu Rakims nyota yangu ni ndoo pete ya rangi gani inanifaa na ni nguo za rangi gani zenye bahati kwangu?
 
Back
Top Bottom