Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

Acha hizo , eti hakuna uchawi , kila kitu kinathibitishwa kisayansi , nani kakudanganya ? Ulishawahi kuugua vipimo vyote vikashindwa kujua ni nini ?? Pasua sala zote lakini wapi ! Basi subiri waje !! Mwisho wa yote mtu ambae hajaenda hata shule anagundua ni nini na anatibu ! Jaribu kwenda kwa wachawi useme hakuna uchawi usikilizie !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ILI UWEZE KUTOA UCHAWI KWENYE MWILI:

Kitu cha kwanza ni kujua kama umelogwa au umelaaniwa na mtu:

Tizama kama kuna mtu ana sababu ya kukuloga. pima kwanza sababu uliyonayo inayoweza kumpelekea mtu kukuloga au kukutia laana(kijicho). Je, kuna mtu anaetamani uharibikiwe au uumwe au ufilisike n.k, ni ngumu kulogwa na mtu ambaye hakujui wala hamjawahi kufahamiana nae, ni kwa sababu huwezi kumkosea yeyote hadi afikie kukufanyia ubaya ikiwa hakujui unless anakufahamu fika na umewahi kumkosea ndio atatamani kukutia malogo.

jealous-girl.jpg

zifuatazo ni aina za laana na malogo ambayo mtu huweza kukuwekea:
Libwata, kukufanya umpende hali ya kuwa kiukweli hukuwa na mapenzi nae.
Kisasi cha kukuloga
nuksi
hasira za kupindukia
Kukosa usingizi na mlolongo wa njozi mbaya

28218534_m.jpg

2
tizama kama umeanza kuwa na bahati mbaya katika mambo yako. kama kila unachofanya kinakuwa kinagoma, hiyo maana yake ni kwamba tayari kuna mtu keshakulipua bomu sasa ni muda wa kuliponya. na kama kila siku mambo yako mazuri yanaenda yanaisha na unaenda unakosa muelekeo bila sababu za msingi, hayo yote yanawezekana kusaidika na kuwa solved.

Hizi ni baadhi ya dalili unaweza kuzihisi kama kuna mtu kashakuloga

Unakuwa unajiskia kuumwa mara kwa mara hasa hasa maradhi yanayokuja na baridi kali kweli mifupa au mwili kama umepondwa

unapata ushindi mdogo katika kila jaribio dogo, hata kama ulijiandaa vya kutosha na kukesha ukifanyia mazoezi

unapata mvurugiko wa jambo pale linapoanza kwenda kukaa sawa,

au kukosa kukutana na mwenza mliozungumza mkutano anashindwa kufika,

usafiri kukwama ukiwa unaenda sehemu mradi tu usifike kwa wakati,

Ndugu wanakuwa wanafanya mambo yao bila hata kukukumbuka wala kukujulia hali wanakua kama wanakusahau kama upo
3
Lakini tambua sio kila kitu kibaya kinachomtokea mtu ni kwa sababu ya kulogwa. haijarishi ni kiasi gani bahati yako inashuka kila siku haihusiani na laana au kulogwa kupanda kwa bahati na kushuka ni somo lingine hapa nazungumzia uchawi,kijicho na laana.

Hata kama una maadui wachache, ni kawaida mmoja kati yao kuwa na uwezo wa kukuchezea na kukuharibu tu. fikiria pia kwa uliyeoa kwa nini mke wako haendi vile ulivyokua nae mwanzo na ukiangalia hamna sababu ya msingi basi jua moja kwa moja kuna hasidi kashavamia ndoa hiyo sasa waweza kijua kwa maelezo haya

SAFISHA ROHO YAKO:

If-You%25E2%2580%2599re-Doing-THIS-Before-Bathing-Your-Health-Can-Get-Badly-Affected.jpg

1
Tumia hirizi kujikinga kwanza hirizi inaweza kuwa moja kati ya hizi hapa

  • nywele zako wakati upo mchanga
  • kucha za fisi au mkia wa mnyama aitwa swala musk ambaye hutumika kukamuliwa mafuta ya miski
  • kipande cha aya za dini ya imani yako
  • mti shamba wowote wenye kukinzana na uchawi mfano mzaituni
Kubwa kuliko yote ni kuchonga pete ya kukukinga ambayo itakuwa na madini ya nyota yako kwa upande wa kinga na kito chake kama huvifahamu basi ni email niweze kukutajia au dondosha comment hapo chini.

2
Oga na maji ya rose water na ukiwa umeyachanganya na majani ya zaituni yaliyochemshwa au majani ya mkunazi. Oga zaidi ya siku 3 ili uweze kuanza kusikia upungufu wa maumivu sehemu zile zinazouma baada ya hapo weka:
Chumvi ya mawe
karafuu
pakanga
pacholi
patchouli
muosha fedha
habat nuksi

3
Choma udi karaha ziwe miti 12 anza mmoja baada ya mwingine huku ukisema nafukuza laana na mapigo yote yaliyotumwa kwangu yakae mbali na mimi na yasimkumbe yeyote pale yatakapo toka kwangu, usiseme yarudi kwa aliyeyatuma maana akijua umetoa kazi unayo,

Haltiti,kiberiti upele na udi karaha ni dawa zinazokera wachawi na kuvunja kamba za kichawi hivyo ni vyema zaidi kama utazifunga kwenye kitambaa na kuweka kwenye pochi yako hadi hali hiyo ikuondoke.

Kuondoa kwa kutumia nguvu chanya:​

Nenda kwa mashehe au mapadre wakuombee uweze kupona kwa kupitia imani hizo pia kama unaimani thabiti huko ikiwa unaona dalili hizo zipo na huo niliokuelekeza hapo ni mlolongo mrefu..

Point of correction. Chumvi ya mawe huwa inatumika peke yake. Dont u ever try kuchanganya chumvi ya mawe na dawa nyingine yoyote ile
 
Mkuu nyota za kweli ni nyota za jina uliopewa na wazazi pamoja na jina la mama hizi za tar zimewekwa tu in general lakini hazifanyikazi kama hizo za kuzaliwa nazo
With due respect i beg to differ mkuu. Nyota ya mtu inatazamwa kwa kuangalia siku aliyo zaliwa na MAJIRA alio zaliwa. Narudia tena " SIKU" aliyozaliwa na " MAJIRA" aliyo zaliwa. Naposema majira namaanisha its eidha ni usiku au mchana
 
ILI UWEZE KUTOA UCHAWI KWENYE MWILI:

Kitu cha kwanza ni kujua kama umelogwa au umelaaniwa na mtu:

Tizama kama kuna mtu ana sababu ya kukuloga. pima kwanza sababu uliyonayo inayoweza kumpelekea mtu kukuloga au kukutia laana(kijicho). Je, kuna mtu anaetamani uharibikiwe au uumwe au ufilisike n.k, ni ngumu kulogwa na mtu ambaye hakujui wala hamjawahi kufahamiana nae, ni kwa sababu huwezi kumkosea yeyote hadi afikie kukufanyia ubaya ikiwa hakujui unless anakufahamu fika na umewahi kumkosea ndio atatamani kukutia malogo.

jealous-girl.jpg

zifuatazo ni aina za laana na malogo ambayo mtu huweza kukuwekea:
Libwata, kukufanya umpende hali ya kuwa kiukweli hukuwa na mapenzi nae.
Kisasi cha kukuloga
nuksi
hasira za kupindukia
Kukosa usingizi na mlolongo wa njozi mbaya

28218534_m.jpg

2
tizama kama umeanza kuwa na bahati mbaya katika mambo yako. kama kila unachofanya kinakuwa kinagoma, hiyo maana yake ni kwamba tayari kuna mtu keshakulipua bomu sasa ni muda wa kuliponya. na kama kila siku mambo yako mazuri yanaenda yanaisha na unaenda unakosa muelekeo bila sababu za msingi, hayo yote yanawezekana kusaidika na kuwa solved.

Hizi ni baadhi ya dalili unaweza kuzihisi kama kuna mtu kashakuloga

Unakuwa unajiskia kuumwa mara kwa mara hasa hasa maradhi yanayokuja na baridi kali kweli mifupa au mwili kama umepondwa

unapata ushindi mdogo katika kila jaribio dogo, hata kama ulijiandaa vya kutosha na kukesha ukifanyia mazoezi

unapata mvurugiko wa jambo pale linapoanza kwenda kukaa sawa,

au kukosa kukutana na mwenza mliozungumza mkutano anashindwa kufika,

usafiri kukwama ukiwa unaenda sehemu mradi tu usifike kwa wakati,

Ndugu wanakuwa wanafanya mambo yao bila hata kukukumbuka wala kukujulia hali wanakua kama wanakusahau kama upo
3
Lakini tambua sio kila kitu kibaya kinachomtokea mtu ni kwa sababu ya kulogwa. haijarishi ni kiasi gani bahati yako inashuka kila siku haihusiani na laana au kulogwa kupanda kwa bahati na kushuka ni somo lingine hapa nazungumzia uchawi,kijicho na laana.

Hata kama una maadui wachache, ni kawaida mmoja kati yao kuwa na uwezo wa kukuchezea na kukuharibu tu. fikiria pia kwa uliyeoa kwa nini mke wako haendi vile ulivyokua nae mwanzo na ukiangalia hamna sababu ya msingi basi jua moja kwa moja kuna hasidi kashavamia ndoa hiyo sasa waweza kijua kwa maelezo haya

SAFISHA ROHO YAKO:

If-You%25E2%2580%2599re-Doing-THIS-Before-Bathing-Your-Health-Can-Get-Badly-Affected.jpg

1
Tumia hirizi kujikinga kwanza hirizi inaweza kuwa moja kati ya hizi hapa

  • nywele zako wakati upo mchanga
  • kucha za fisi au mkia wa mnyama aitwa swala musk ambaye hutumika kukamuliwa mafuta ya miski
  • kipande cha aya za dini ya imani yako
  • mti shamba wowote wenye kukinzana na uchawi mfano mzaituni
Kubwa kuliko yote ni kuchonga pete ya kukukinga ambayo itakuwa na madini ya nyota yako kwa upande wa kinga na kito chake kama huvifahamu basi ni email niweze kukutajia au dondosha comment hapo chini.

2
Oga na maji ya rose water na ukiwa umeyachanganya na majani ya zaituni yaliyochemshwa au majani ya mkunazi. Oga zaidi ya siku 3 ili uweze kuanza kusikia upungufu wa maumivu sehemu zile zinazouma baada ya hapo weka:
Chumvi ya mawe
karafuu
pakanga
pacholi
patchouli
muosha fedha
habat nuksi

3
Choma udi karaha ziwe miti 12 anza mmoja baada ya mwingine huku ukisema nafukuza laana na mapigo yote yaliyotumwa kwangu yakae mbali na mimi na yasimkumbe yeyote pale yatakapo toka kwangu, usiseme yarudi kwa aliyeyatuma maana akijua umetoa kazi unayo,

Haltiti,kiberiti upele na udi karaha ni dawa zinazokera wachawi na kuvunja kamba za kichawi hivyo ni vyema zaidi kama utazifunga kwenye kitambaa na kuweka kwenye pochi yako hadi hali hiyo ikuondoke.

Kuondoa kwa kutumia nguvu chanya:

Nenda kwa mashehe au mapadre wakuombee uweze kupona kwa kupitia imani hizo pia kama unaimani thabiti huko ikiwa unaona dalili hizo zipo na huo niliokuelekeza hapo ni mlolongo mrefu..

Hapo tu ndo ulozi ulinishindaga mie
Masharti kibao wakati nikienda zangu kanisani na kuliita jina ya Yesu na damu ya Yesu
Tayali nakuwa mzimaaaa
Nyie endeleeni bana mie hapana siwezi hiyo makitu
 
Naitwa Wilfred na mama yangu anaitwa Emerensiana, je nyota yangu ni ipi pia nitumie pete ya madini gani na Vito.ahsante
Nyota yako ni Thaur na tafuta pete ya shaba kito upate green tourmaline au green sapphire ukikosa basi pata volcanic glass green. Hapo mengine yatabaki historia kwako

Rakims
 
Point of correction. Chumvi ya mawe huwa inatumika peke yake. Dont u ever try kuchanganya chumvi ya mawe na dawa nyingine yoyote ile
Mkuu, chuo kipi umesoma mambo ya kiroho tuanzie hapo?
Kama kwa babu au bibi basi kaa pembeni kabisa huna hoja

Rakims
 
Back
Top Bottom