Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

Mkuu mimi kuna mtu nataka aniache yaani nataka yeye ndio avunje uhusiano yani itokee anichukie tu na aondoke bila ugomvi, inawezekana hiyo?
 
Mkuu mimi kuna mtu nataka aniache yaani nataka yeye ndio avunje uhusiano yani itokee anichukie tu na aondoke bila ugomvi, inawezekana hiyo?
Ni rahisi mkuu inawezekana spell ipo njoo pm
 
Kama unadhania hakuna uchawi pia unasadiki hakuna Mungu,maana uwepo wa Mungu unaambatana na uwepo mpinzani wake anayefahamika kama Shetani/Ibilisi na rafiki zake ndio hao wachawi wanaojadiliwa hapa kuhusu vijicho.
 
Uchawi upo hata vitabu vitakatifu vimeelezea kuhusu hilo.
Hii jaribio kwa mwanadamu juu ya Iman yake kwa Muumba... Imani ikiwa thabiti hayo yote upotea... Tumrudie Muumba na ushindi utapatikana kwa kila jambo..
 
Siri zipo hapa gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…