Jinsi ya kutoa uchawi laana(vijicho) kwenye mwili

Acha hizo , eti hakuna uchawi , kila kitu kinathibitishwa kisayansi , nani kakudanganya ? Ulishawahi kuugua vipimo vyote vikashindwa kujua ni nini ?? Pasua sala zote lakini wapi ! Basi subiri waje !! Mwisho wa yote mtu ambae hajaenda hata shule anagundua ni nini na anatibu ! Jaribu kwenda kwa wachawi useme hakuna uchawi usikilizie !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point of correction. Chumvi ya mawe huwa inatumika peke yake. Dont u ever try kuchanganya chumvi ya mawe na dawa nyingine yoyote ile
 
Mkuu nyota za kweli ni nyota za jina uliopewa na wazazi pamoja na jina la mama hizi za tar zimewekwa tu in general lakini hazifanyikazi kama hizo za kuzaliwa nazo
With due respect i beg to differ mkuu. Nyota ya mtu inatazamwa kwa kuangalia siku aliyo zaliwa na MAJIRA alio zaliwa. Narudia tena " SIKU" aliyozaliwa na " MAJIRA" aliyo zaliwa. Naposema majira namaanisha its eidha ni usiku au mchana
 
Hapo tu ndo ulozi ulinishindaga mie
Masharti kibao wakati nikienda zangu kanisani na kuliita jina ya Yesu na damu ya Yesu
Tayali nakuwa mzimaaaa
Nyie endeleeni bana mie hapana siwezi hiyo makitu
 
Naitwa Wilfred na mama yangu anaitwa Emerensiana, je nyota yangu ni ipi pia nitumie pete ya madini gani na Vito.ahsante
Nyota yako ni Thaur na tafuta pete ya shaba kito upate green tourmaline au green sapphire ukikosa basi pata volcanic glass green. Hapo mengine yatabaki historia kwako

Rakims
 
Point of correction. Chumvi ya mawe huwa inatumika peke yake. Dont u ever try kuchanganya chumvi ya mawe na dawa nyingine yoyote ile
Mkuu, chuo kipi umesoma mambo ya kiroho tuanzie hapo?
Kama kwa babu au bibi basi kaa pembeni kabisa huna hoja

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…